[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Hahaaa wacha kbs mm nilimpa simu yng akakuta picha za ajabu kipindi hicho almanusura anitoe macho mbele zawatu
Simu ni private property haina ubia kwenye mahusiaono yeyote ya kimapenzi. Hata ya ki ndoa. So kila mtu abaki na yake. Its a pure ptivate propery ku snoop simu ya mpenzi wako ni trespassingKuna rafiki yangu kanichekesha hapa alienda kwa mpenzi wake ,ghafla mpenzi wake akamuambia naomba simu yako,heeee rafiki yangu si akampa simu huku machozi yanatiririka ,haahha..,,mpenzi wake akamuambia yaan simu tu unalia jamani kha
Yaan ananisimulia jinsi ambavyo akiombwa simu anakuwa hana amani anatamani hadi kulazwa
Ombi,ruksa kushikana na sio kushikiana simu aigooo
Je kama nimemnunulia hiyo simu, napo siwezi kuiangalia?.Simu ni private property haina ubia kwenye mahusiaono yeyote ya kimapenzi. Hata ya ki ndoa. So kila mtu abaki na yake. Its a pure ptivate propery ku snoop simu ya mpenzi wako ni trespassing
Uingie kutafuta niniJe kama nimemnunulia hiyo simu, napo siwezi kuiangalia?.
Simu ya mwenzio inakuhusu nini. Kila mtu atumie yakeSimu tu!? Shida nn...
Yangu ashike..yake siihitaji! Akikuta majanga kwangu shauri yake...Simu ya mwenzio inakuhusu nini. Kila mtu atumie yake
Si bora hizo picha za ajabu, ile unampa tu simu mpya inaingia sijui utamwambia aipokeeHahaaa wacha kbs mm nilimpa simu yng akakuta picha za ajabu kipindi hicho almanusura anitoe macho mbele zawatu
[emoji23] ndiyo hapo ila yote kwa yote MTU unae mpenda kwa dhati haupo tayari kumtesa, kwahiyo usaliti huchangiwa sana na wahusika mmoja wao kutokuwa na penzi LA kweli, au wote wawliSi bora hizo picha za ajabu, ile unampa tu simu mpya inaingia sijui utamwambia aipokee
Umeonaee siyo poa kbsMmmh simu haijawahi muacha MTU salama hata..
Kama mnaaminiana hakuna haja ya kuchunguzana hadi kwenye simu. Hakina sababu ya kushika simu ya mpenzi wako. Mtu anipe sababu 5 za kushika simu ya mpenzio.Kama mnaaminiana sioni sababu ya kuogopa kushikiana simu