Atafute blackberry Q5 au Q10 zitamfaaa
Nitaipata sehemu gani kwa dar?
Nitaipata sehemu gani kwa dar?
Heshima kwenu wakuu.
Ninahitaji simu yoyote ya android yenye qwerty key board ya kawaida isiyokuwa touch au yenye option zote.
Mwenye hii simu anambie tufanye bihashara.
Pia naomba ushauri naweza kupata wapi simu za hivi na ni zipi model nzuri za simu za aina hii.
Asanteni.
Ngoja ni google mkuu
Kuna galaxy chat pia Ina qwerty. Ila trust me hizo simu za keyboard Ni mbaya, si kila mtu anajua kutengeneza keyboard kama blackberry au Nokia.
Tafuta tu simu yenye kioo kikubwa utazoea kama wiki au wiki mbili.
Atafute blackberry Q5 au Q10 zitamfaaa
mkuuu tafutaaa simu moja inaitwa samsung galaxy pro dous young..................
tafta Blackbery