Simu hii ina tatizo gani?

Simu hii ina tatizo gani?

magweto

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2013
Posts
501
Reaction score
3,621
simu yangu kunaa baadhi ya text haisomi inaaleta alama hizi,nimejaribu ku updade lakini tatizo bado ni lilelile,nifanyeje

Simu samsung galaxy j7 prime.

20220715_205734.jpg
 
Ni emoji hizo, baadhi hazisomi... inahitaji version kubwa ya android ambapo simu yako haisupport
simu hii ni android version 8,kuna mtu wa infinix wa version 8 kama yangu nilimrushia text ya wasap ambayo kwangu haisomi kwake inasoma,hakuna setting naweza kufanya?
 
simu hii ni android version 8,kuna mtu wa infinix wa version 8 kama yangu nilimrushia text ya wasap ambayo kwangu haisomi kwake inasoma,hakuna setting naweza kufanya?
Mmh download labda emoji keyboard
 
Hio ni lugha mkuu haipo kwenye simu yako. Jaribu kwenda setting kisha language and input, download lugha zako unazohisi unatumia then uone kama itasolve tatizo.
 
simu yangu kunaa baadhi ya text haisomi inaaleta alama hizi,nimejaribu ku updade lakini tatizo bado ni lilelile,nifanyeje

Simu samsung galaxy j7 prime.

View attachment 2292451
Hizi ni emoji mkuu, simu yako haitambui hizi emoji ndomana haioneshi
Kama unataka kuziona lazima update simu atleast to android version 10

Hi chini ni link ya youtube itakufahamisha
.
 
Back
Top Bottom