Simu haitoi tena mtetemo (Vibration)

Simu haitoi tena mtetemo (Vibration)

anjnr

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2010
Posts
539
Reaction score
208
Ni simu aina ya Infinix NOTE 7. Ghafla iliacha kutoa vibration. Nimehangaika kufanya settings bila mafanikio, nimejaribu ku-restart simu wapi. Kipi naweza kufanya wataalam?
 
Ni simu aina ya Infinix NOTE 7. Ghafla iliacha kutoa vibration.. Nimehangaika kufanya settings bila mafanikio, nimejaribu ku-restart simu wapi. Kipi naweza kufanya wataalam?
Umecheki kitufe cha DO NOT DISTURB?
 
Kama ulikuwa unaitumia kwenye chaji notification ikiingia inavaibrate basi ushauwa hiyo yakwenda kubadilisha
 
Kama ulikuwa unaitumia kwenye chaji notification ikiingia inavaibrate basi ushauwa hiyo yakwenda kubadilisha
Daaaa, hili linawezekana aisee..., kwahyo kuna namna ya kubadilisha?
 
Daaaa, hili linawezekana aisee..., kwahyo kuna namna ya kubadilisha?
yah nenda kwafundi acheki njia za hiyo vibration au vibration yenyewe kama itakuwa vib. Anatoa anaweka nyingine haizidi 5,000
 
Weka simu yako sauti mpaka mwisho halafu jaribu kupiga hii audio uone kama ita vibrate
 
Back
Top Bottom