Midozenj01
JF-Expert Member
- Sep 21, 2014
- 421
- 422
Wakuu msaada wenu tafadhali tangu Leo asubuhi kila nikimpigia mtu simu haziend na nikipigiwa naonekana busy....
Msaada wakuu nisolve hili
Nawasilisha
Msaada wakuu nisolve hili
Nawasilisha
Yote nimefanya lakin awap...Zima Simu Halafu Toa Betry
Rudisha Betry Halafu Uiwashe
Piga Uone
Fanya FormattingYote nimefanya lakin awap...
Battery ni built-in
Haipigiki mkuu...Haziendi wapi
Haipigiki mkuu...
Kiswahili hakija kamilika c unajua...??
Au nitumie mofimu na fonimu
TegemeziHapo sasa tunaenda mbali mofimu huru na mofimu gani vile