SIMU HAIPANDISHI 4G NETWORK

SIMU HAIPANDISHI 4G NETWORK

Gatete

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2011
Posts
380
Reaction score
407
Natumia galaxy note 3 yenye option ya LTE lakin 4g network haipandi licha ya kuswap line yenye uwezo wa 4g..naomba msaada namna ya kuiwezesha.
 

Attachments

  • Screenshot_2016-07-27-08-09-00.png
    Screenshot_2016-07-27-08-09-00.png
    26.9 KB · Views: 53
  • Screenshot_2016-07-27-08-15-13.png
    Screenshot_2016-07-27-08-15-13.png
    27.2 KB · Views: 51
Unatumia mtandao gani pia angalia 4G bands za hiyo simu yako kama inasupport huo mtandao unatumia
 
Unatumia mtandao gani pia angalia 4G bands za hiyo simu yako kama inasupport huo mtandao unatumia
Naangaliaje hizo bands, afu zipi zinasupport?
Natumia tigo
 
Kwa sababu bado upo android 5.0 unaweza kuingia kwenye Special menu ya Samsung na kuilazimisha ikae 4G. Embu Google instructions za code za kuchange network kwenye Samsung.
 
Google tigo 4g uingize imei namba za smu yako ili ujue kama ina support 4G ya tigo
 
Uko maeneo gani Kuna baadhi ya sehem haipandishi 4G hata ukiset
 
Naangaliaje hizo bands, afu zipi zinasupport?
Natumia tigo
Tigo na smile - 800 Vodacom na Ttcl - 1800 kwa simu yako hiyo mitandao inasupport 4G labda eneo unalokaa.
 
Back
Top Bottom