- Thread starter
- #21
Ndio ninayoUna PC mkuu? Windows 7
Ndio ninayoUna PC mkuu? Windows 7
): unauliza sana maswali wee shuka nyondo watu tu flowKabla ya updates wifi na bluetooth zilikua zinafanya kazi?
Hahaha.. Mkuu hatukurupuki kabla ya kujua tatizo ni nini. Na pia kushuka tu bila kuwa na direction haitotatua tatizo hatuko hapa kwa ajili ya misifa ya kijinga mkuu): unauliza sana maswali wee shuka nyondo watu tu flow
Mkuu hii process ni ngumu kiasi hivyo basi kama hauna background na Custom ROM flashing usihangaike. Sema ulipo kama upo kanda ya Kaskazini nitumie Private MessageNdio ninayo
Nadhukuru kwa msaada wako mkuu. Nipo mbali kidogo. Nipo easten zone huku moro.Mkuu hii process ni ngumu kiasi hivyo basi kama hauna background na Custom ROM flashing usihangaike. Sema ulipo kama upo kanda ya Kaskazini nitumie Private Message
downgrade ama jaribu ku upgrade tena (this time use odin)Ndo nafanyaje kuirudisha?
Moro mbana wapo wakaliNadhukuru kwa msaada wako mkuu. Nipo mbali kidogo. Nipo easten zone huku moro.
Mkuu shusha maufundi kwa faida ya woteMoro mbana wapo wakali
[Q] unable to turn on wifi, after installing pre rooted kitkat 4.4.2 on gt-n7100Mkuu shusha maufundi kwa faida ya wote