Tuna Restore Vp MkuuRestore simu maana cache zimejaa
asante mkuu, nikikaa naye nitajaribu halafu nitaleta mrejeshoMkuu fuata procedure hizi
-ingia kwenye settings then nenda kwenye "manage apps"
-Itafute play store hapo kwenye manage apps
-Ibofye hiyo play store halafu utaona sehemu imeandikwa "uninstall updates"
-Bofya hapo utaiuinstall then ingia kwenye browser,may be chrome/uc browser
-Then utaandika hivi kwenye search box "play store 4.8.20"
-Zitatokea link nyingi,utachagua kati ya link ya kwanza au ya pili
-Ukishaingia kwenye hiyo link utaona version nyingi za playtore,wewe utadownload latest version au version ambayo imeekewa tarehe ya mwisho kuliko zote
-Ukishaidownload utainstall,open it!
-NOW THE PROBLEM IS FIXED
NJIA NYINGINE NJOO NA ELFU KUMI HAPA KALIAKOO NTAKUREKEBISHIAmkuu hakuna njia nyingine ya kufuta hizo cache zaidi ya ku restore ?
Fanya hivyo basiasante mkuu, nikikaa naye nitajaribu halafu nitaleta mrejesho
mi niliwaza kufanya factory hard reset ila kwa ninavyojua mzee alivyo mtata nahisi atangekataa maana vitu vingi vingefutika... labda kama kuna namna ya kufanya hii kitu bila kufuta apps na vitu mbalimbali alivyo downloadAah hapo ningekua mm kwa msaada wa haraka ningeifanyia restore
Nilikua na tatizo kama hili, lakini hii comment imenisaidia. AsanteMkuu fuata procedure hizi
-ingia kwenye settings then nenda kwenye "manage apps"
-Itafute play store hapo kwenye manage apps
-Ibofye hiyo play store halafu utaona sehemu imeandikwa "uninstall updates"
-Bofya hapo utaiuinstall then ingia kwenye browser,may be chrome/uc browser
-Then utaandika hivi kwenye search box "play store 4.8.20"
-Zitatokea link nyingi,utachagua kati ya link ya kwanza au ya pili
-Ukishaingia kwenye hiyo link utaona version nyingi za playtore,wewe utadownload latest version au version ambayo imeekewa tarehe ya mwisho kuliko zote
-Ukishaidownload utainstall,open it!
-NOW THE PROBLEM IS FIXED
Ipo lakini inahitaji uelewa na aina ya simu. Mfano samsung: zima simu kicha bonyeza vitufe hivi vitatu kwa pamoja (kitufe cha kuongeza sauti, cha kuwashia na kitufe cha katikati chini). Hapo itakuja menyu list alafu shusha kwa kutumia kitufe cha kupunguzia sauti mpaka palipo andikwa clean cache hapo bonyeza kitufe cha kuwazshia simu: tayari! Zima simu yako kisha iwashe tenamkuu hakuna njia nyingine ya kufuta hizo cache zaidi ya ku restore ?