Simu ghali zaid duniani ni ipi?

Zimeingia soko la Tanzania?
 
Mkuu nime Google nimeona wanatumia os ya Android, ina maana ni Android hii tunayoitumia wote?

Ina maana bei zao zipo kwenye Housing tu sio kwenye os?
 
Mkuu nime Google nimeona wanatumia os ya Android, ina maana ni Android hii tunayoitumia wote?

Ina maana bei zao zipo kwenye Housing tu sio kwenye os?

yap hardware tu, ila kuna service kama personal assistant inakuwa integrated kwenye os na huduma nyengine ambazo hutazipata kwenye android ya kawaida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…