Sio kweli hapo kwenye iphone 6Wakuu,huku mitaani kuna mashindano ya kununua simu za bei ghali,Kuna simu bei inalingana na bodaboda,ni simu gani hiyo na inatengezwa na kampuni gani? Naambiwa kwa sasa simu ghali ni iPhone6, ni kweli?
Hakuna simu ghali kama blackberry
Hakuna simu ghali kama blackberry
Wakuu,huku mitaani kuna mashindano ya kununua simu za bei ghali,Kuna simu bei inalingana na bodaboda,ni simu gani hiyo na inatengezwa na kampuni gani? Naambiwa kwa sasa simu ghali ni iPhone6, ni kweli?
Yah! Hii simu inauzwa tshilling 21,320,000.vertu kwa miaka zaidi ya 10 ndio![]()
Yah! Hii simu inauzwa tshilling 21,320,000.
vertu kwa miaka zaidi ya 10 ndio watengenezaji simu ghali duniani. simu zao
-zinatengenezwa kwa mkono (handmade) tofauti na simu nyengine zinazotengenezwa na mitambo
-zinatumia madini ghali kama titanium, gold nk
-zinatumia ngozi original (hata ya nyoka ipo)
-personal assistant wake ni mtu wa ukweli ambae anasubiri kukujibu 24hrs
bei ya boda boda? hapana zinazidi dola 10,000 kutegemea na configuration. kiufupi ni hela ya kununulia Hiace/Costa kama daladala na sio bodaboda
![]()

mkuu kweli haya? au ndo unazuga?
Nahisi hawa jamaa price zao zipo based zaidi na material wanayotumia kama madini kuliko teknolojia
Nahisi tu