Naomba ushauri wadau,nahitaji kununua Smartphone kwa bajeti isiyozid 150,000.Ni product gani kwa sasa nzuri kwa bajeti hiyo?
kuna maduka yanauza hizo used au ndo hadi ununue kwa mtu ?
Hiyo ni laki mbili na nusu?, nunua NOKIA LUMIA 630 nzuri nafikiri bei inaanzia 250000-300000/....Habari zenu wadau. .sijawahi kumiliki smartphone, naombeni mwenye ufahamu kusu simu ya kimjini zaidi ambyo ni smartphone ambyo ukiwa nayo unaonekana ukoswags. . Bei yake naombam ianzi laki Mbili na nusu kurudi chini! Msaada tafadhali, NB: KEJELI NA MAJUNGU HAVITA NIJENGA, shukrani!
Habari zenu wadau. .sijawahi kumiliki smartphone, naombeni mwenye ufahamu kusu simu ya kimjini zaidi ambyo ni smartphone ambyo ukiwa nayo unaonekana ukoswags. . Bei yake naomba ianzi laki mbili na nusu kurudi chini! Msaada tafadhali, NB: KEJELI NA MAJUNGU HAVITA NIJENGA, shukrani!
Habari zenu wadau. .sijawahi kumiliki smartphone, naombeni mwenye ufahamu kusu simu ya kimjini zaidi ambyo ni smartphone ambyo ukiwa nayo unaonekana ukoswags. . Bei yake naomba ianzi laki mbili na nusu kurudi chini! Msaada tafadhali, NB: KEJELI NA MAJUNGU HAVITA NIJENGA, shukrani!
Nitafute mkuu ninazo lakin za used
Nunua Tecno F5..Kwa bei hiyo utapata. Ila kama unataka swaga hasa, tufanye biashara na mimi. Nina HTC One X, nimeinunua miezi miwili iliyopita. Wiki mbili zilizopita ilianguka chini na kupasuka kioo. Gharama ya kioo ni Tsh120,000 na fundi anataka Tsh 10,000.
Kama huzifahamu, waulize wanaojua HTC One X.
1. Kama unataka iOS from Apple, kwahiyo bajeti mkuu huwezi pata.
2. Kama unataka Windows Phone (Nokia Lumia family) kuna machaguo mengi, kama Lumia 520, 530, 630 na 635.(Mid-range phones)
3. Ila kama unataka Android OS hapa ndio uwanja mpana.
Ila cha kukusaidia, pitia huu huzi wa Chief-Mkwawa https://www.jamiiforums.com/tech-ga...5-cheap-android-phones-unazoweza-kununua.html
https://www.jamiiforums.com/tech-ga...tphone-za-bei-rahisi-unazoweza-kununua-2.html
thread ni hiyo, ila pia nayo ipo outdated kidogo,