Simu bora

Simu bora

Sir lum Na

Member
Joined
Sep 14, 2021
Posts
5
Reaction score
4
Mnaojua simu kampuni ya Sonny zina weakness gani? Nahofia kuingia mkenge maana pesa zenyewe za kutafuta kwa tochi
 
Sony hazina shida ni vile tu makampuni mengine yana simu nzuri zaidi
Ila kuna siku kama Sony Xperia 5 II, Xperia 1 IV, Xperia 5 IV nk zina shida ya overheating kutokana na chipset walizotumia. Ila nyingi hazina shida ni wewe tu kuchagua vizuri
 
Sony hazina shida ni vile tu makampuni mengine yana simu nzuri zaidi
Ika kuna siku kama Sony Xperia 5 II, Xperia 1 IV, Xperia 5 IV nk zina shida ya overheating kutokana na chipset walizotumia. Ika nyingi hazina shida ni wewe tu kuchagua vizuri
Ahsante sana
 
Na simu za Phillips zikoje
 
Hapo unataka kununua used maana sony mpya sio rahisi kuipata bongo na kwa hiyo hela unaweza pata samsung mpya yenye waranty ya miaka 2 na unaweza itumia kwa miaka 5 bila kipengele
 
Back
Top Bottom