Hata Nokia Asha 200 ni nzuri huku Tarime ni Tshs 170,000/= iko poa kwa hizo mambo za net na pia java applications. Yaani ukitaja hayo maOperamini mzuka unanipanda yametulia. Nimeanza kuyatumia 2007
Hata Nokia Asha 200 ni nzuri huku Tarime ni Tshs 170,000/=
Mkuu asha 200 ni sh 74,999 aka 75,000 tu na inauzwa vodashop zote nchini
Samsung chat is awesome i think. Ilabseems kama picha yake ume download, vipi kibongo bongo watakubali kuuza less than 300k?
Amekwambia anataka Simu yenye high speed ya internet, sasa hapa mambo ya betri yameingi aje???samsung hakuna kitu betri ni kama simu za siemens chagua hizo nokia walizo list hapo juu,vilevile kuna nokia e61i ni nouma
samsung hakuna kitu betri ni kama simu za siemens chagua hizo nokia walizo list hapo juu,vilevile kuna nokia e61i ni nouma
samsung hakuna kitu betri ni kama simu za siemens chagua hizo nokia walizo list hapo juu,vilevile kuna nokia e61i ni nouma