Simu bora unayoiamini ni aina gani?

***
ipo kwenye gsmarena!.
Ni world most no 1. kwa kukaa na charge.
•zipo kariakoo?,na wanauzaje?
Ukizunguka sana Kariakoo huwezi ikosa. Mimi niliinunua Kenya, Kenya zinapatikana. Ni 450k hadi 550k.
 
Lenovo si ni laptop hizo
 
Ninayotumia naiamini kuliko hata mi iphone yenu. Kwann? Maana niliinunua mwenyewe na risti nikapewaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…