ITEGAMATWI
JF-Expert Member
- Jan 26, 2012
- 5,362
- 4,125
Mkuu simu hizi zipo Bongo? bei yake kibongobongo ikoje?Askwambie mtu!, inakaa na chaji mpaka unasahau kama hii ni android. Sema nzito kishenzi. Uroho wangu wote wa kutumia simu kwa fujo hapa umeisha. Inakaa na chaji kuanzia wiki na kuendelea. Jipimie mwenyewe hapo.
5.5-inches
RAM 2GB
Betri 10,000mAh
Network 4G
Nina mpango wa kutumia android rugged phones, hizo kwa kukaa na chaji Oukitel K10000 cha mdoli, zina zaidi ya 10000mAh, mixer 15000mAh.
Kibongobongo sijaona, labda kwa walio Dar watasema.Mkuu simu hizi zipo Bongo? bei yake kibongobongo ikoje?
imenivutia sana
Nina note 4 pia..bado sijaona haja ya kuhamaBado simu za Samsung zipo vizuri, lakini unaponunua nunua flagship tu. Hapa natumia galaxy note4 inakimbiza balaa
Hiyo sim nimeikubali. inapatikana wapi kama nahitaji kununua?Mi sikufichi mzee, ugonjwa wangu ni betri liwe linakaa sana na chaji.
Kwa hiyo simu ninayoiamini sana na nimeitumia sana ni Oukitel K10000.
tecnom3Ni karibu miezi miwili iliyopita tangu kampuni inayoaminika sana ya Samsung kutangaza kuondoa toleo moja sokoni la Galax note 7,
Kampuni hiyo Ndiyo kampuni niliyoiamini zaidi, lakini kabla ya kuondolewa kwa simu hiyo ilileta madhara makubwa duniani, kwa kujeruhi watu, licha ya matangazo ya kuiondoa yaliyoathiri watu kisaikolojia na kuleta lapsha, Sina imani nayo kwa sasa!
Je ni smartphone ya kampuni gani unayoitumia wewe, ambayo umetokea kuiamini na kuiona inafaa sana?
Hii hapaHiyo sim nimeikubali. inapatikana wapi kama nahitaji kununua?
https://www.fastcardtech.com/OUKITEL-K10000.html
***Askwambie mtu!, inakaa na chaji mpaka unasahau kama hii ni android. Sema nzito kishenzi. Uroho wangu wote wa kutumia simu kwa fujo hapa umeisha. Inakaa na chaji kuanzia wiki na kuendelea. Jipimie mwenyewe hapo.
5.5-inches
RAM 2GB
Betri 10,000mAh
Network 4G
Nina mpango wa kutumia android rugged phones, hizo kwa kukaa na chaji Oukitel K10000 cha mdoli, zina zaidi ya 10000mAh, mixer 15000mAh.
Ipo gsmarena***
ipo kwenye gsmarena!.
Ni world most no 1. kwa kukaa na charge.
•zipo kariakoo?,na wanauzaje?
http://www.gsmarena.com/oukitel_k10000_has_worlds_largest_battery_now_up_for_preorder_for_19999-news-15429.php
Hii ni simu babkubwa sanaBado simu za Samsung zipo vizuri, lakini unaponunua nunua flagship tu. Hapa natumia galaxy note4 inakimbiza balaa
hii ni nini chief?[emoji15]xaom
niwekee sampleMotorola Droid RAZR
Ebwana asikwambie MTU kwenye Nokia 3310,hili gunzi ni hatari