Tigoshop wamepandisha, Tamaa zimeanza.
Ila umehakiki umeulizia redmi 10C na sio redmi 10?
Kenya inauzwa equivalent ya hio 310,000 hivyo kama redmi 10C imekuja Officially inatakiwa iuzwe bei hio.
Kujua OG mkuu cheki soc na cpu z kama ni sd 680, pia angalia mambo mengine ya miui/Xiaomi ambayo ni exclusive mfano Infrared port kutumia simu kama remote.