Atafungwa kivipi wakati amenunua risiti anazo mpaka za shipping.Toba option ya pili watakufunga kiongozi
Kubadili ime number ni kosa kisheria aijalishi unarisiti ya bidhaa unayoibadili ungemshauli harudi kwa seller wake kama kufanya hvo afanye seller mwenyewe lakini sio yeye mtejaAtafungwa kivipi wakati amenunua risiti anazo mpaka za shipping.
Wabongo ni majoga joga
Ngoja nikuchekie kwa jamaa mmoja yupo makumbusho kama ataiweza kazi au kukupa connectionNiunganishe nao Mkuu
Umesema kweli mkuu hii option ya pili ni hatariToba option ya pili watakufunga kiongozi
Naambiwa nawatia uwoga wa tzUmesema kweli mkuu hii option ya pili ni hatari
Option ya pili inawezekana kabisa ila ni kosa kisheria, kuna baadhi ya Nchi Imei zinauzwa Kihalali, niliwahi sikia Kuna Mafundi Authorised hapa Tanzania ila sihaifatilia sana hii issue.Habari wanabodi,
Niende moja kwa moja kwenye mada, nimenunua simu (Pixel 6 pro) kutoka ebay.. wakati nanunua muuzaji alidai kwamba simu ni Open Box na haijawahi kutumika na ni UNLOCKED.
Simu baada ya kunifikia kweli ilikuwa inaonekana ni mpya haina shida, ila baada ya kuweka line ikatoa allert kwamba 'sim card not supported, contact at&t if they can unlock this device' baada ya kucheck na at&t wakanipa message 'We can't unlock this device because we can’t locate it in our database of devices sold by AT&T.'.. nikaenda imei24.com na kuingiza IMEI ya simu ndipo nikagundua imei ni Blacklisted!
Mpaka sasa seller hajatoa suluhisho lolote, na overall simu ni nzuri saana, issue ni hiyo tu kutosoma line.
Sasa niwaulize wataalam kuna namna ya kufix hii issue? Sina shida sana na blacklist yao ila nahitaji line yangu isome. Binafsi nina options 2.
1. Kurudisha simu kwa seller ila nitapata hasara ya shipping.. karibu 500K.
2. Kujaribu kucheki na wataalam kama wanaweza kufix hili tatizo ama ikiwezekana kubadili IMEI number.
Option ipi ni nzuri zaidi kwa nyinyi wazoefu?
CC: Chief-Mkwawa @mikhayiyl Reuben Challe City Rider Bavaria
asante sana kwa ushauri murua, so niachane na option ya kurudisha ebay? pia hao jamaa wa mabox wanaweza ku unlock simu ambayo ni at&t network locked? na ukizingatia simu ni pixel 6 proOption ya pili inawezekana kabisa ila ni kosa kisheria, kuna baadhi ya Nchi Imei zinauzwa Kihalali, niliwahi sikia Kuna Mafundi Authorised hapa Tanzania ila sihaifatilia sana hii issue.
Pia mkuu sababu Imei ipo blacklisted sehemu fulani haimaanishi ipo blacklisted Tanzania, mfano inawezekana ipo blacklisted AT&T sababu mtumiaji wa Mwanzo hajalipa tu deni lake, so ni Issue yao wenyewe haiwahusu TCRA.
Tumia website ya TCRA kuhakiki ingia hapa
TCRA |
TANZANIA COMMUNICATIONS REGULATORY AUTHORITY | MAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIAwww.tcra.go.tz
Kama ipo poa, hangaika kuitoa lock kwa njia nyengine kama hawa jamaa wa mabox.
Option ya pili inawezekana kabisa ila ni kosa kisheria, kuna baadhi ya Nchi Imei zinauzwa Kihalali, niliwahi sikia Kuna Mafundi Authorised hapa Tanzania ila sihaifatilia sana hii issue.
Pia mkuu sababu Imei ipo blacklisted sehemu fulani haimaanishi ipo blacklisted Tanzania, mfano inawezekana ipo blacklisted AT&T sababu mtumiaji wa Mwanzo hajalipa tu deni lake, so ni Issue yao wenyewe haiwahusu TCRA.
Tumia website ya TCRA kuhakiki ingia hapa
TCRA |
TANZANIA COMMUNICATIONS REGULATORY AUTHORITY | MAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIAwww.tcra.go.tz
Kama ipo poa, hangaika kuitoa lock kwa njia nyengine kama hawa jamaa wa mabox.
Imepita hii mkuu, Onana na hawa jamaa wa Mabox,
Asante Mkuu.. kuna swali langu hapo juu!Imepita hii mkuu, Onana na hawa jamaa wa Mabox,
Wilhelm Johnny @krait na wengineo
Pia online naona watu wanatoa, sema ngumu ku verify kama sio Matapeli, Cheki Youtube.
Hata kuzini na kuiba ni kosa kisheriaKubadili ime number ni kosa kisheria aijalishi unarisiti ya bidhaa unayoibadili ungemshauli harudi kwa seller wake kama kufanya hvo afanye seller mwenyewe lakini sio yeye mteja
Postpone kwanza, kurudisha si kama mwezi hivi? Hangaika nayo kwa jamaa wanaotoa lock.asante sana kwa ushauri murua, so niachane na option ya kurudisha ebay? pia hao jamaa wa mabox wanaweza ku unlock simu ambayo ni at&t network locked? na ukizingatia simu ni pixel 6 pro
Sasa kwan hapa kiongozi tunachangia uzi wa kuzini na kuiba?Hata kuzini na kuiba ni kosa kisheria