Simu aina ya Sony

Simu aina ya Sony

Chuck j

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2011
Posts
2,366
Reaction score
832
Dada mmoja amesahau password ya kufungulia simu,,,kajaribu Mara 24imejilock,,,inadai Nina LA mamake kama sawli LA security,, na google account na yeye hana na alive msetia hakumbuki,,,he nimsaidieje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama vipi irestore kama hatojali kupoteza data zake aiset upya
 
na kama ni hizi android mpya ukirestore hapo unakutana nayo bado hio gmail.

huyo aliemfungulia mwambie a forgot password kwenye email, inawezekana kuna njia ya ku recover akaikumbuka.
 
Back
Top Bottom