mkuu iphone 5s hio sh ngapi ??
Hii inataka 340000 mkuu
mkuu iphone 5s hio sh ngapi ??
Mpya si ukanunue dukaniHabari wakuu,
Inatafutwa iphone mpya au used yenye condition nzuri.
Iwe kuanzia iphone six na kuendelea, storage size yoyote na muuzaji awe ndo mmiliki halisi wa hiyo simu (kwa uthibitisho)
Kama kuna anae-meet hayo matakwa karibu tufanye biashara.
mkuu mambo yakiwa sawa mwanzo mwa mwezi ujao tutafanya biasharaHii inataka 340000 mkuu
IPO juu mkuuHii inakwenda kwa 340000
We una sh ngapi nikupe ya kwanguIPO juu mkuu
IPO juu mkuu
mkuu mambo yakiwa sawa mwanzo mwa mwezi ujao tutafanya biashara
Mkuu INA GB NGAPIOk, watoa sh ngapi?
Mkuu INA GB NGAPI
Leta 400 nikupe brand new boxed na kila kitu chake ni 16gbMkuu hio 5s unaitakia ngapi??
Bila kupoteza Muda
IPhone 6
16black na gold - 75000064 GB 850000128 GB870000
IPhone 6 plus 16 GB - 970000
64gb - 1070000128black--1250000
IPhone 6s 16black--920,000,16gold-950,000
64black ---1150000
64gold --1150000
IPhone 6s plus 16black--117000016gold--117000064black--125700064gold--136000064pink--1360000
Nicheki PM
SIMU ZOTE NI MPYA (Full boxed) na ni original