mkuu ongeza kidogo tangazo ili wanunuzi waielewe vizuri!ni simu aina ya HUAWEI ASCEND Y300, Bei TSH. 155,000 tu, Simu iko poa kabisa, inatumia lain ya tigo pekee ukinunua itabidi u unlock na jamaa wanatoa huduma ya ku unlock kwa sh 5000 tu. call 0713532322 tufanye biashara, napatikana dar...
ni simu aina ya HUAWEI ASCEND Y300, Bei TSH. 155,000 tu, Simu iko poa kabisa, inatumia lain ya tigo pekee ukinunua itabidi u unlock na jamaa wanatoa huduma ya ku unlock kwa sh 5000 tu. call 0713532322 tufanye biashara, napatikana dar...
Acha kulaghai bana hakuna mahali popote kuunlock sim ambayo lock yake ni ya kampuni ya simu kwa hiyo bei yako ya elfu tano. Kuunlock hizi simu bei yake ina arrange 20 hadi 30 elfu ila kama inawezekana we unlock kabisa mi niinunue kwa hiyo bei 160k
mkuu ongeza kidogo tangazo ili wanunuzi waielewe vizuri!
tuambie ina engine size ngapi! ya kwaka gani!manual au automatic!imetembea km ngapi na vitu kamz hivyo!!!aaaah kumbe siyo gari ni simu basi tangazo linajitosheleza boss!!nilidhani ni gari!!