Simu aina ya Bontel A8 zipoje?

Mzee wa old school

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2021
Posts
979
Reaction score
1,502
Habarini wana jamvi, kuna mtu anazifahamu simu za Bontel A8, Ufanisi wake ukoje?

Naamini nitapa taarifa zake kutoka kwenu.
 
Habarini wana jamvi, kuna mtu anazifahamu simu za Bontel A8, Ufanisi wake ukoje?

Naamini nitapa taarifa zake kutoka kwenu.
Hilo kampuni sijawahi kuliamini kwani ni kampuni bora au kampuni ucharwa?

Kuna siku nilitamani kununua bontel na bei zao zipo chini kabisa ila sasa kilichonishangaza wana masimu mengine yamekaa kama radio call.
 
Mleta mada kama mi mtu pori tafuta SQ 1000 au XTIGI S23 HUTAJUTA Hiyo no 1 chaji miezi 7
Hiyo no 2 chaji miezi3 zikiwa Mpya ni simu bora sana net work haipindipindi
 
Hilo kampuni sijawahi kuliamini kwani ni kampuni bora au kampuni ucharwa?

Kuna siku nilitamani kununua bontel na bei zao zipo chini kabisa ila sasa kilichonishangaza wana masimu mengine yamekaa kama radio call.

sema wana matochi ya redio yenye simu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…