R Rose Of Africa JF-Expert Member Joined Apr 27, 2020 Posts 228 Reaction score 96 Mar 24, 2023 #1 Habari wana JF Swali langu, aina gani ya Tank la maji kati ya Simtank na Kiboko ni Bora na Imara na linalodimu kwa kuhifadhia maji Karibuni....
Habari wana JF Swali langu, aina gani ya Tank la maji kati ya Simtank na Kiboko ni Bora na Imara na linalodimu kwa kuhifadhia maji Karibuni....
Scrum Master JF-Expert Member Joined Apr 28, 2021 Posts 243 Reaction score 425 Mar 25, 2023 #2 Simtank ni gumu zaidi
CAPO DELGADO JF-Expert Member Joined Aug 31, 2020 Posts 9,764 Reaction score 20,456 Mar 25, 2023 #3 Yote ni Mazuri mkuu. Hayana tofauti kabisa. Kikubwa kama upo Dar uende kwenye Offisi zozote utakazo penda. Ukachukue tank lako.. N:B KIKUBWA NI UJENZI WA WATER TOWER IMARA. FUNDI PLAMBER MZURI.
Yote ni Mazuri mkuu. Hayana tofauti kabisa. Kikubwa kama upo Dar uende kwenye Offisi zozote utakazo penda. Ukachukue tank lako.. N:B KIKUBWA NI UJENZI WA WATER TOWER IMARA. FUNDI PLAMBER MZURI.
J JOHNKEKE JF-Expert Member Joined Mar 30, 2011 Posts 1,310 Reaction score 1,466 Mar 27, 2023 #4 Kwa sasa hivi polytank ndiyo wanaongoza baada ya simtank kupunguza thickness, namba 2 ni Simtank, then wengine wanafuatia. Hii ni uzoefu wa mafundi wengi na wafanyakazi wa kampuni zinazouza hayo matank
Kwa sasa hivi polytank ndiyo wanaongoza baada ya simtank kupunguza thickness, namba 2 ni Simtank, then wengine wanafuatia. Hii ni uzoefu wa mafundi wengi na wafanyakazi wa kampuni zinazouza hayo matank
Mwaikibaki JF-Expert Member Joined Mar 19, 2015 Posts 3,047 Reaction score 3,775 Mar 27, 2023 #5 Rose Of Africa said: Habari wana JF Swali langu, aina gani ya Tank la maji kati ya Simtank na Kiboko ni Bora na Imara na linalodimu kwa kuhifadhia maji Karibuni.... Click to expand... Pita na Simtank bila kupoteza muda Mkuu nimekua mteja wao kwa miaka 10 iliyopita, sina majuto! Uamuzi ni wako!
Rose Of Africa said: Habari wana JF Swali langu, aina gani ya Tank la maji kati ya Simtank na Kiboko ni Bora na Imara na linalodimu kwa kuhifadhia maji Karibuni.... Click to expand... Pita na Simtank bila kupoteza muda Mkuu nimekua mteja wao kwa miaka 10 iliyopita, sina majuto! Uamuzi ni wako!
greater than JF-Expert Member Joined Sep 22, 2018 Posts 1,671 Reaction score 3,106 Mar 28, 2024 #6 CAPO DELGADO said: Yote ni Mazuri mkuu. Hayana tofauti kabisa. Kikubwa kama upo Dar uende kwenye Offisi zozote utakazo penda. Ukachukue tank lako.. N:B KIKUBWA NI UJENZI WA WATER TOWER IMARA. FUNDI PLAMBER MZURI. Click to expand... Kwani lazima iwe tower ?
CAPO DELGADO said: Yote ni Mazuri mkuu. Hayana tofauti kabisa. Kikubwa kama upo Dar uende kwenye Offisi zozote utakazo penda. Ukachukue tank lako.. N:B KIKUBWA NI UJENZI WA WATER TOWER IMARA. FUNDI PLAMBER MZURI. Click to expand... Kwani lazima iwe tower ?
O ojii-san JF-Expert Member Joined Mar 7, 2024 Posts 406 Reaction score 2,365 Mar 28, 2024 #7 Sim tank ni bora zaidi