Ajabu!! Mwanamke anaeogopa hela sasa hata maendeleo si yatachelewa, maana mwanaume hatotafuta pesa kwa bidii atii!!!!
Sharia mwanamke utumie pesa bwa kaka akili imkae sawa kuitafuta.
Hahahahaha!!! Kuna watu wanataman wameze saver za jf wakisikia haya.
Wanapita na booonge la msonyo, wapi RRONDO mzee wa mihogo, njoo amepatikana huku waifu asopenda pesa.
Wanapita na booonge la msonyo, wapi RRONDO mzee wa mihogo, njoo amepatikana huku waifu asopenda pesa.
Maamuzi yangu ni ku move on japo bado nampenda sana bt i have decided to move on.Shida ni kuwa sitaki disturbance zake..huyu mtu naishi nae mtaa mmoja daily I see him. Kumbuka nampenda namuona na binti wengne navumilia...
Tatizo lenu nyie mabinti mnafikiri tusiopenda wapiga mizinga hatuna hela!!! Wenye hela ndio wagumu kweli fanya utafiti,hela inatoka kwa mipango sio uje na njaa zako huko utegemee upewe tu....Mimi sihongi na sijawahi kusumbuliwa na watoto wazuri!!
Hama mtaa, utaendelea kuumia Hadi lini? Kuendelea kumpenda mtu Asie na taimu na wewe ni Sawa na Kuvua nguo na kutembea Uchi mchana kweupe... Angalia Maisha Yako dada
Unashindwa kumove on coz bado umemuweka karibu huyo jamaa..Cha msingi ni kukata mawasiliano kabisa..Zen hilo la kuhusu kumsahau usijali...Niko tayari kukusaidia...Nimeshaku-PM namba yangu
Hata yako ikipita karibu yangu lazima niipige chabo then naiwekea mipango mikakati wa matumizi.
Unashindwa kumove on coz bado umemuweka karibu huyo jamaa..Cha msingi ni kukata mawasiliano kabisa..Zen hilo la kuhusu kumsahau usijali...Niko tayari kukusaidia...Nimeshaku-PM namba yangu
Yaani ahame mtaa kisa mwanaume!!
Unaanzaje kumsahau mtu kama alishatawala akili yako sana?! Mfano kila wakati ulimfikiria,in most of ur plans he was there,kama inawezekana uweke mbinu kwa faida ya wengine pia?!
I once throught abt astral projection but hii inahusu mind,kama mtu alikuwa moyoni unamtoaje sasa huko moyoni?!
Mungu tuepushe tusiangukie kwenye mikono ya watu kama hawa
Kama Mama Yako au baba yako waliokuleta Duniani wanakufa na unawasahau Utashindwa vipi kumsahau mtu mliyekutana tu.... Kuamini huwezi kumtoa mtu aliyemoyoni ni ngumu basi daiama utakuwa mtumwa wa kila kitu... Huu ni Wakati wakutafkutafuta kilichobora kwake sio kuendelea kuumia tu
Ulishawahi kupenda?!
Nishawahi ndio na pia niliachwa lakini Niliamua kusahau na kuendelea na maisha yangu
Ni kweli life must go on,ila ktk maisha hata uwe na wangapi yupo ambae huwezi kumsahau....
My friend had a girlfriend chuoni,alimfanyia vituko sana,alimliza sana but hakuacha kumpenda iliposhindikana kbsa alimwacha,akaoa akazaa na watoto ila hadi leo hajamsahau,anakiri bdo hajapenda kama yule mwanamke.
Yeah Hiyo ni moja Ya kutafuta Uhuru wa Nafsi.. Mapenzi Yanaumiza sana Hasa Pale inapotokea wewe ndio muhitaji bali ww huhitajiwi... I wish Siku moja Uje Uanguke kwenye mikono ya Aina Hiyo Kisha Upende kweli, Hapo ndipo Utakapojua mapenzi ni nini?