Simshangai Leticia Nyerere

Congratulations Mr malisa, LETISIA NYERERE atasaidiwa na mahakama tu ndo pona yake iyo. Toka Acha kuchafua cv ya baba wa taifa Mwlm, Julius kambarage nyerere
 
duh..sikua najua unyerere wake unatokea wapi, ..kumbe kwa sasa ni bandia? ila muwacheni mdada wa watu.., si nyie mlikua mnaimba katiba sio ya chama sasa kwa nini mnamwekea bifu.
 
NJAA KALI SANA YENYE rangi ya kijani imemuondoa dada wa watu kwenye ulingo wa siasa , nawasikitia waliomlea !
 
Nafarijika sana kuwaona vijana mahiri kama wewe uko kwenye njia sahihi kwa maslahi mapana ya Taifa letu... Intensity ni muhimu sana, always pambana kuwaelimisha na kuwa tayari kuwaokoa vijana wenzio waliodumbukia kwenye mitego ya kijinga! Always inspires them, waambie kuwa nchi hii ni tajiri tena kuliko nchi nyingi za ulaya na kuwa Maisha bora yanawezekana iwapo tu CCM watatolewa madarakani... kwa mbali Napata faraja kuwa 2015 kuna mambo mazuri kwa Watanzania ... Kudos Malisa ...keep it up...
 
leticia ananjaa kuliko hata darfuu , yaani kama wewe una buku 10 u.n.a.m.t.i.a kilaini tu bila shida
 
Laki tatu na nusu kwa siku, nani asiyezitaka?
Wakulima wa tumbaku, wazipata mwisho wa mwaka,
Waalimu wenye uzoefu, mwezi mzima wazisaka,
USALITI HUU WA UKOMBOZI, SIMSHANGAI LETICIA NYERERE.

Nimepapena zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…