leticia nyerere ni mzalendo haswa ametangulia maslahi ya nchi mbele
haa, mi nilifikiri ni mtoto wa hayati baba wa taifa. kumbe ni hayawani aliyemsaliti mtoto wa baba wa taifa madaraka nyerere, sasa anatakiwa hata hilo jina anyang'anywe analinajisi jina lilotukuka, bila mleta uzi huu nilikuwa najua ni mtoto wa hayati baba nyerere
leticia nyerere ni mzalendo haswa ametangulia maslahi ya nchi mbele
Wasaliti ni wale wanao baka katiba yao!Aliyeleta pesa, alileta mfarakano,
Mioyo ya watu imeteka, inaleta utengano,
Mwenye kumiliki nyingi pesa, aweza fanya lolote agano,
USALITI HUU WA UKOMBOZI, SIMSHANGAI LETICIA NYERERE.
Yesu aliuzwa kwa wayahudi, sababu ilikua pesa,
Hata John aweza jiita "Iddi", kama ukimuahidi pesa,
Leticia mwana wa Mageni Musoni, shilingi inamtesa,
USALITI HUU WA UKOMBOZI, SIMSHANGAI LETICIA NYERERE.
Laki tatu na nusu kwa siku, nani asiyezitaka?
Wakulima wa tumbaku, wazipata mwisho wa mwaka,
Waalimu wenye uzoefu, mwezi mzima wazisaka,
USALITI HUU WA UKOMBOZI, SIMSHANGAI LETICIA NYERERE.
Leticia Madaraka Nyerere, pesa imempofusha,
Hawezi tena kuona mbele, kisa posho za Katiba,
Hata akila matembele, macho yake keshaziba,
USALITI HUU WA UKOMBOZI, SIMSHANGAI LETICIA NYERERE.
Mwizi huanza kama kibaka, akizoea haogopi tena kelele,
Leticia alimsaliti Madaraka, kitindamimba cha Mwal.Nyerere,
Mahakamani akadai talaka, lakini akaendelea kujiita "Nyerere"
USALITI HUU WA UKOMBOZI, SIMSHANGAI LETICIA NYERERE.
Mahakama ingempa mipaka, asitumie tena jina Nyerere,
Hakuna Nyerere kibaka, wala mwenye kiherehere,
Apendaye pesa za "mbaka", na kuweka tamaa mbele,
USALITI HUU WA UKOMBOZI, SIMSHANGAI LETICIA NYERERE.
Leo Leticia anaonekana msaliti. maneno ya kashfa. Mlipomteua kuwa mbunge viti maalum hamkujua kuwa alitalikiwa na Madaraka Nyerere?
Amewahi kugombea ubunge wa Sadc kwa baraka za chadema, leo anaitwa majina mengi.
Demokrasia gani hiyo?
Hivi ule uzi kuhusu kuishi nchi gani sijui na sababu za kupewa ubunge mlijibu nini tena????!!!!
Mbona yaliandikwa mengi tu lakini "mlishupaa"????!!
Vumilieni tu next time mtakuwa makini zaid
Wasaliti ni wale wanao baka katiba yao!
Wasaliti ni wale wanao kubali kuburuzwa kama wewe ili upate uenyekiti wa Bavicha!
Wasaliti ni wale wanao acha shughuli za wananchi na kwenda Dubai!
Wasaliti ni wale wanao shindwa kujenga ofisi kwa kutafuna Ruzuku!
Wewe na kushauri ukafungue kanisa uanze kuhubiri!
Leo Leticia anaonekana msaliti. maneno ya kashfa. Mlipomteua kuwa mbunge viti maalum hamkujua kuwa alitalikiwa na Madaraka Nyerere?
Amewahi kugombea ubunge wa Sadc kwa baraka za chadema, leo anaitwa majina mengi.
Demokrasia gani hiyo?
Leo Leticia anaonekana msaliti. maneno ya kashfa. Mlipomteua kuwa mbunge viti maalum hamkujua kuwa alitalikiwa na Madaraka Nyerere?
Amewahi kugombea ubunge wa Sadc kwa baraka za chadema, leo anaitwa majina mengi.
Demokrasia gani hiyo?
huyu ni kimeo,kumjadili ni kupoteza muda au kumuongezea status.
je huyu si ndiye aliyesema vianzishwe vyuo vya kufundisha kutongoza ili wanaume wasiwe woga wa kutongoza??!!!
hiyo ni moja ya argument ya mbunge mwenye masters!
Mtasema yote na chama lenu la kikabila leti amekuja dodoma kutetea watanzania wange nyie na ubaguzi wenu nyamazeni.

Maoni yako ni Sawa na avatar Yako!
Wasaliti ni wale wanao baka katiba yao!
Wasaliti ni wale wanao kubali kuburuzwa kama wewe ili upate uenyekiti wa Bavicha!
Wasaliti ni wale wanao acha shughuli za wananchi na kwenda Dubai!
Wasaliti ni wale wanao shindwa kujenga ofisi kwa kutafuna Ruzuku!
Wewe na kushauri ukafungue kanisa uanze kuhubiri!
Hahahaah.. anawaza kutongozwa tu.