Simply stunning beauty

sijaona chochote natural hapo,..mtoto materialistic sana,..cute like many girls i meet and know...nothing outstanding
 
Unauhakika gani, uliwaua wewe na kuwanyoa??!

Msamiati wa nywele zozote za kubandika, ziwe za kutengenezwa au za binaadam mwengine aliyekatwa akiwa hai au amekufa.

Unaonesha hata utamu wa lugha hauuelewi, watu kama wewe ndio mkisikia "usiache mbachao kwa msala upitao" huwa mnauliza "hiyo mbacha na huo msala uko wapi?" Afanaaleyk.
 
hiyo itakuwa made in KLM-Kilimaanjaro tu,sema mama atakuwa wa kagera,ndo maana mguu uko vzuri................ingekuwa viceversa ingekuwa kituko

Mzee hapo kwenye bold sikakuelewa vizuri
 

Wewe Zomba mbona unaleta ukamanyola hapa... msamiati uko wapi hapo kwenye hiyo sentensi yako ya awali??!! Dupek!
 
<img src="http://redpepper.co.ug/welcome/wp-content/uploads/2011/08/A-gorgeous-babe-closelyf-ollows-the-proceedings-of-the-night.jpg" border="0" alt="" />
<br />
<br />
In addition am just getting picture of laziness
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…