Kijana leo
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 2,860
- 812
tena kama wewe, kamata chini kwanza...
MO11 na wewe mjasiriamali kama miss chagga?
Sawa, nimekuelewa.
ahah umenikumbusha mbali Simplicity............. una ie thread ililetwa hapa na kama sikosei mtu aliita Teamo and keizar sina kumbukumbu nzuri ilikuwa unahusian na sharia mama za nyumba ndogo.............sitaki kuamini kuwa kuna waliocopy na kwenda kupaste kwenye maisha yao eh??
That's the best high value asset she has. Nashangaa warembo wengine wanazikalia tu. Hivi nani hapendi maisha mazuri humu??Ndio uexchange na k? Hatari tupu.