Simplicity.
JF-Expert Member
- Dec 19, 2013
- 2,636
- 1,664
hiyo award naomba ikuje kwangu,na naomba kuwa mwenyekiti katika kamati ya maadili...nawasilisha!!!
ddaah ticha unazingua ujue!!
npo serious madame atakaeenda kinyume na maadili ni stiki za masa.buri tu, mikwaju mwanzo mwisho
ha ha ha ha usitake tuigize na thread zikawa na one page .... kuambukizwa tabia nikutokana na upoyoyo wako kichwani na wala si kingine..... sasa award ya maadili mema kwenye jukwaa la mapenzi eeeh eh wakati watu mapenzi mnachukulia si maadili ndiyo maana yanajadiliwa kwa tafsida,... labda AWARD KWA WANAOCHANGIA WAZI WAZI BILA KUOGOPA HAPO SAWA
Khaa!! Labda ungefafanua maadili mabaya ni yapi na mema yapi. Kwani isije kuwa umejichanganya
Za kuambiwa changanya na za kwako........
Khaa!! Labda ungefafanua maadili mabaya ni yapi na mema yapi. Kwani isije kuwa umejichanganya
Ni kweli ufafanuzi unahitajika kuna mambo kwa wengine ni sawa tu wakati kwa wengine sio sawa. Mfano Mzungu akitembea uchi/nusu uchi ni sawa kwao lakini sio maadili mema kwa mwafrika/mtanzania kuvaa nusu uchi/kuwa uchi hadharani. Fafanua tafadhali
Nimesahauje kukutaja wewe, immoral! Kwa hiyo unapingana na top pyschologists waliofanya research na kuconclude kuwa kuna inborn na acquired behavior? Na acquired ndio zile ambazo wewe unawaambukiza watu.