afrodenzi angekuwa tayari amefunga ndoa ya namna hii angeyafahamu haya, ila pete uvaliwa kwenye kidole cha mkono wa kushoto na sio kulia!! Na hiyo karatasi yaweza kuwa ratiba tu kwani cheti hakiko hivyo kama hii ndoa imefungwa Bongo.