Simple principles zilizonisaidia maishani mwangu

Kuna sehemu fulani wazee hawapendi kabisa shikamoo wanataka za saizi
 
Basi tupo tofauti Mimi hata nikikukosea siezi omba msamaha hua sikiri udhaifu hata siku moja,

napenda ugomvi kuliko kula kwa sababu ugomvi ninauweza,

simuamini mtu yeyote kwa sababu nishaangushwa mara kibao juzi tu hapa nimetoka kulizwa

Naaishi kwa visasi naamini revenge it's sweeter when it's double koo ukinikosea lazima nrajirudishia ata ukiomba fair nakumbuka kipindi iko nacheza mpira ilikua mtu akinichezea rough afu akaomba fair nakubali japo lazima nijirudishie kama sio siku hio hio nrajirudishia siku ingine yaan ntajtahd niwezavyo tue timu tofauti ili nijirudishie

Kwangu utakavo kuja ndivo utakavo rudi

Simuheshimu mtu sio wenye pesa wazee wala nan yaan kifupi cna heshima kabisa ni kama nna laana tuseme
 
Mi mwanamke asiye na tako bwana hapana kwa kweli ..
 
Umeandika kimasikini sana braza

Nyie ndio wanyonge anayewaita magufuli.

Mabepari hawaishi hivyo Mzee.

Halafu kudai salamu ni kuonesha udhaifu kuwa umedharauliwa.

Ukiona mtu amekupita bila kukusalimia fahamu kuwa hauko kwenye hesabu zake.

Yote kwa yote tutafute Pesa.
 
ukweli mchungu , mi mtu hata akinipita hajanisalimia akirudi badae kuniuliza mambo majibu fresh tu, salamu hainiongezei chochote ,masikini ndo tunakomaa na hayo mambo yasiyo ya msingi
 
Hapo sawa mkuu mm kama nimenasa na pesa sina nitalala nalo hapo sina shobo na mtu
 
Ukwel mchungu sana huu
 
Ni vizuri na Ahsante kwa taarifa...

Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
mkuu upo sahihi.

Hata ktika magfundisho ya mtume kaeezea haki za salamu ikiwemo.

Anaetembea au kupita amsalimie aliyekuwa amekaa au hatembei,uww mkubwa au mdogo kama unatembea msalimie yule ambae hatembei.

Anaewakuta watu sehemu yeyr ndo aanze asalimie na sio asalimiwe.

Mdogo aanze kumsalimia mkubwa.

Watu wachache ndio wanatakiwa waanze kuwasalimia wengi.

Haya ni mambo muhimu sana kuyajua.

Lakini pia mimi simchukulii mtu vile anavyonichukulia,mimi nakuchukulia kwa namna ambayo haitonishusha thamani yangu.

Kunawatu wapuuzi wanajifanya wanajua wanaongea sana,wakiona watu wengi wanaanza matani ya kweli ilo wafurahishe wengine,mtu wa aina hii usi3nde kama ambavyo yeye anafanya lazima umkomalie ikiwezekana umpe maneno ya kiutu uzima mbele za watu mpaka aache ujinga wake kwako.

Kuna jamaa alikuwa na tabia hizo akiona wwtu anaanza kukutania hivi na vile matani ya uongo na kweli,siku moja nikamuambia "kaka lengo lako la kuchekesha watu limetimia,na hao wamecheka sio kw sababu umewachekesha saana haoana bali ni kwa sababu wameona wasipocheka utajisikia vibaya kwamba lengo lako halijatimia,kwa hiyo usione kwqmba kila mda una2afurahisha saana watu wakati mwingine wanaigiza kufurahia mambo yko lakini kumbe 2anaona upuuzi tu"

Jamaa mpaka leo hathubutu kunitania ovyo,ni maneno ya kawaida lakini alijiskia vibaya sana mpaka leo ananiheshimu,anachunga anitanie kipi na kioi asinitanie,na mimi uzuri nikimuona nampa hai freshi namchangamkia asione kama nilimind ile siku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…