Simpendi mama yangu mzazi

Simpendi mama yangu mzazi

kachonjo

Senior Member
Joined
May 25, 2018
Posts
161
Reaction score
197
Natamani kuwa uliza kaka zang je .ukiambiwa ufunge ndoa Na mwanamke mwenye tabia kama za mama utakubari.

Mama yangu kajawa Na chuki .roho ya kisasi .uchonganishi Na mambo ya kujifanya mcha mungu.

Hapa kwenye kujifanya mcha mungu anajikuta kujua nani mchawi nani mwema.

Nikiwa kidato cha kwanza.alimwambia kaka yang kuwa Mimi nimepewa dawa kuzimu ili nisababishe kifo cha kaka yangu. kipindi icho nikiwa Na miaka 15 ivi.
nilichukia Sana nikamfwata kaka Na kumueleza mbona mama anadai Mimi Na kuloga ww.
Kaka jibu alilo nipa ni achana nae .
Baada ya siku tatu nilihugua Na maralia.Mama akadai eti nimepewa azabu kuzimu kwasababu sikutekeleza jukumu lang. Nilishangaa Sana .
Sijawai kuwa mchawi ata nikivua nguo ukuti chale mwilini .sijui dawa za kienyeji Wala kuenda kwa waganga. Adi Leo atuna msusiano mazuri Na kaka.uyu ni kaka yang wa tatu.

Mama kamchonga Nisha kaka yangu wa kwanza Na baba. Kaka Ali mnunia baba kwa miaka saba .ata ivi wanaongea ila bound yao sio nzuri.

Apa mama alimwambia kaka wa Kwanza kuwa baba yako mchawi .amefunga mikataba kuzimu nyinyi musifanikiwe. Baba yako ataki akusomeshe . Baba yako akupendi . Adi kaka wa Kwanza akamwandi Kia barua baba .MANENO ambayo baba ana yakumbuka kwenye iyo barua ni ( DUNIANI KUNA MAWE MENGI LAKINI JIWE MOJA TU LIKU GONGE) apa kaka aliandika kwa lugha ya Malika Elizabeth.

Sio kwamba Baba akupenda kutu somesha ila ni masikini wa kiwango cha lami . Apa najiuliza kama baba akutusomesha je mbona mama pia ajatusomesha.

Kuna siku nilimpigia simu kaka wa kwanza.
Mimi: kaka mbona sisi atufanikiwi Na tupo wengi wa kiume nyumbani .

Kaka wa Kwanza: ww ujui baba yako ni mchawi .ametufunga kuzimu. Ataki tufanikiwe .amekuja kuniloga Na kunichawia ila kwa sababu mm nimeokoka ndo mana ameshindwa .uwa Na pigana naye sana ndotoni.
Kwa kweli niliuzunika sana kuona kaka yangu wa kwanza kameza uongo wa mama.

Mama amenuniana Na ndugu wengi wa baba .Adi mama mkwe wake awaongei.


Ametutenga Nisha Na ukoo wa baba.

Amepaka maneno kuwa bibi yetu mzaa baba mchawi. Tukisubutu kwenda ivo tutalipwa nyama. Ila anadai kwakuwa yeye ni mlokole Basi anatuombea bibi asitule nyama.

Amejawa na chuki.ukienda nyumbani ukampa zawadi baba yeye anachukia sana . Ananuna .pia yeye ni fundi wa polojo mtaa mzima wana jua matatizo yake ya ndoa.

Amemchafua baba mtaani akuna asiye ya fahamu mazaifu ya baba mtaani .nimlopokaji kamchafua Mzee .acha nishie apa tu ila simpendi mama ya pata miezi 2 sijaongea nae .yeye akipiga simu ni kumsimanga baba tu



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio kama za mama yangu Nitakubali kabisaa.

Ila Aiseee nmetetemeka sana, Kwakweli kuna wanawake Wabaya , ila kwakua keshakua Mama , atabaki kua mama tu .

Sema nn, kwann msimwambie kua mama ivi na ivi??mwambieni banaa, ujue wanetuzaa lkn haimanisho wao wako sahihi nakwamba kila wakifanyacho nisahihi..ubinadam utabaki kua ubinadamu.

Kwa maelezo haya yoote machache ulotoa nadiriki kusema ktk familia yenu KUNA MLOZI/MCHAWI NDANI YAKE , na hamtokaa mfanikiwe kwa kua Hakuna mchawi mwenye mafanikio .

Nikushaur kitu, Unabidi uanze kusali, salini sana,ili minyororo na maagano ya kishetani yalowekwa na huyu Mlozi juu yenu kwakua analo jasho ,nywele kucha zenu Ikapatwe kufunguliwa na ukae mtu huru ndio mtafanikiwa.

Mama yenu anatumia njia ya Kushambulia ili kuendelea kuwatia Upofu namuendelee kukaa ndani ya shimo lenye kiza kinene.

Nakazia....HAMNA FAMILIA YA MCHAWI AMBAYO INA MAENDELEO !! ...HAIPOO !!
 
Inawezekana mama yako Ana mapungufu ila si mbaya kiasi cha kumchukia.

Nachoona umeshajenga chuki kati yako na mama yako kiasi ambacho muda wote unaona mabaya yake tu.

HAKUNA KAMA MAMA, NA HAKUNA MAMA WAWILI DUNIANI.

Jitahidi kuangalia yale mambo yake mema itakusaidia kupunguza chuki uliyojijengea ndani yako.

Pia kumbuka kuna watu wanatamani wangekuwa hata na mama kichaa tu ila wawe wanamuona.

Mpende mama yako na muheshimu, ipo siku utatamani hata hayo anayokufanyia afanye mara mbili yake ila HATAKUWEPO TENA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom