Simpendi, ila naogopa kumwacha

Simpendi, ila naogopa kumwacha

Thread za usiku kumbe nzuri hivi.

Kwa bahati mbaya ukawa umeshamtia mimba...


Aisee pantoni fika haraka Mentor nkalale....

Akili za Usiku . Mkuu angalia usipinduke na pantoni
 
Umeshapata suluhisho mkuu??? Nimeamka sasa...
 
Mtie mimba na yule mwingine pia... Alafu wakutanishe...
 
Kweli jf poa sana. Maushauri ulopewa nadhani yamekumaliza kabisa. Usiogope wala usitetemeke. Hata kama ana mimba mwambiye, kwa kuwa amekutishia kujiua weye ndio kabisa hutamchukua tena kwani mwenye wazo la kuweza kujiua, aweza pia kuwaza kumwua mwenzake, je akipatwa na hilo wazo la kukuua ataogopa nini kama roho yake mwenyewe haithamini??
 
kwa bahati mbaya amepata mimba.... okey nikuulize swali we wakati unakojolea ndani ulidhani unakojolea kwenye kikaaangio ? sasa kwa kuwa umemtia mimba basi oa.. mchumba wako yule na yeye anachapwa na wenzio usiwaze sana
 
Muoe tuu mchepuko ulioupa mimba..ana damu yako tayari kaibeba.usijekuwa kama baba dimond analia kisa hajaalikwa kwenye arobaini ya mjukuu...sasa kwenye harusi asipoalikwa si atajinyonga
 
Kuachana nae ni very easy... jiue wewe kwanza afu tuone kama ataendelea kukushobokea
 
sasa wewe fanya hivi nenda kabisa polis waambie huyu binti anataman kujiua so ikija kutokea wewe unakua one step ahead
 
Back
Top Bottom