Simpendi hata kidogo

Wakuu mbona nahisi kama ni mim , ila mimi demu wangu ni mwana jf ,ndo tulikutana baadae fb
 
Huwasicomment huku lakini wewe maliza shule kwanza utawapata wa kukutapeli mpaka basi. Utamtafuta huyo na hutampata. Kwanini anakuzuia kwenda kwenye mtoko na wengine? Labda anakuona wewe ni rahisi kurubuniwa au unatamaa.Na kwa nini unachukua favour anazokupa kama humpendi? Bahati mbaya usije ukaolewa na asiyekupenda lakini. Think twice.
 
i can feel u. love hailazimishwi. kuwa wazi. tell him how u feel. but stop taking his "gifts", cuz unampa hopes ambazo si sawa.
however, mpe hii site imfumbue macho,
Hundreds of Free Articles on Meeting, Attracting, and Dating Women - Tips and Advice
Tatizo lake hakupi "Challenge" za wewe kumtaka.
but believe me, anakupenda ila hajui how. apitie hiyo link angalau atakubali kuwa "Attraction is not a Choice"(by David D'Angelo, hapa Official Double Your Dating | David DeAngelo's Double Your Dating) na hawezi kuilazimisha.
BUT warch out, utapenda mtu anayekunyanyasa....
 

Kama jamaa anajali hivo kiasi kwamba anytime ukimtafuta atakuja, atakua anakupenda sema hajui vitu flani flani, na labda wewe humwambii kama vinakukera, mfundishe mapenzi aendane na wewe unavyotaka, we mtu unamtosa bado anakung'ang'ania afu unashindwa kum-control bna?? Binti wa aina gani unashindwa huku umefatwa hivo, mnyooshe wewe aendane na unavyotaka, huezi jua kama ndio atakuja kua mtu safi kwako huko mbele, acha afu uende ukasumbuke kidogo kutafuta mtu mwenye mapenzi ya kweli afu uniambie kipi ni kazi zaidi....
 
Naona hiki ndio kisa cha hapendwi mtu linapendwa pochi lake.

Baniani mbaya kiatu chake dawa!

Ukiwa bado unasoma raha sana, unaishi katika ndoto nzuri, unakuwa na viwango vya kuchagua mpenzi,n.k. Ila tu unapoondoka chuoni...kuna kina dada tulikuwa nao Mlimani siku hizo nao wakiwa na mawazo kama ya huyu binti...karibu miaka 5 baadaye nikakutana na mmoja wao, hatamaniki hana hali wala viwango, sasa alikuwa tayari kwa yoyote mwenye nia...na wenye nia ni wa kuhesabu!
 
Usimpotezee muda wa wake huyo mwanaume wewe kama humpendi unangangana nae wa nini? Kweli fadhila za punda mateke,vilevile tenda wema nenda zako usingoje shukrani huna haja ya kumlipa fadhila kwa kumpenda kama umejaribu umeshindwa utampunguzia maumivu na kumrahisishia kila kitu ukimuachia huru aende zake.Umeshaweka fikra ya kwamba sio mtu mwenye vigezo unavyovitaka na ndio maana humpendi na hutoweza kumpenda.Huyo utakayekuja kumpenda ndio atakutia kimuhemuhe mpaka akili itakaa sawasawa!
 
Si ungenambia tu mpenz wangu jamani mpaka umeamua kunitangaza huku, but nitaendelea kukupenda kwa sababu umeuteka sana moyo wangu ni vigumu sana kuukubali ukweli huu mchungu sana kwamba hunipendi. Eid Mubarak nawe pia

acha ulofa wewe subiri akuue arithi mali atumie na youngboy
 
naunga mkono hoja!!!!!
 
Embu angalia ulicho post kwenye thread nyingine:




Tulizana wewe ki kicheche ......embu check hapa chini umeandika nini? Kwa hiyo unataka kuachana na mdogo mtu baada ya kumpata kaka mtu?

hahaaa umenichekeshaje!!!!!!!

huyu CnaJina mambo yake yanachekeshaga sana,asante kwa ulichomwambia

maana kuna siku nilikutana nae sehem na nyodo zake hizo ila nadhani hadi leo hawezi kunisahau
 
Last edited by a moderator:
Ngoja ukutane na wanaume worse than him ndo naona utamkumbuka, u have to knw dat its rare kupata mtu perfect ambaye ata meet all of ur qualities and likes.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…