Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 28,850
- 37,562
Naona mnafarijiana
Nifajirini na mm basi
Naona mnafarijiana
Nifajirini na mm basi
Ha haaa,cmfariji ndo hali halisi! Na wengi tunayapitia
...by the way,ushauri wangu km kweli humpendi na humuitaji achana nae,atafute anaemfaa, don waste his tym!serious
Ha haaa,cmfariji ndo hali halisi! Na wengi tunayapitia
...by the way,ushauri wangu km kweli humpendi na humuitaji achana nae,atafute anaemfaa, don waste his tym!serious
......Mi nlimwambia ani pm no yake.....niongee na mshkaji nimweleze mambo anayo andika huku...ili asiwe anapoteza muda wa mshkaji ...amwache aconcetrate na mambo ya maana....mana unafki mbaya sanaAnakupenda sana, na wewe ungekuwa unampenda wala usingesema anakucontrol, ungetii kila anachokuambia. Muache kaka wa watu ampende anayestahili
......Mi nlimwambia ani pm no yake.....niongee na mshkaji nimweleze mambo anayo andika huku...ili asiwe anapoteza muda wa mshkaji ...amwache aconcetrate na mambo ya maana....mana unafki mbaya sana
......mboja ujani-pm nanmba yake....tutumie busara hapa...!!!! au umesahauCoward!! Run ujifiche kwa mgongo wa mods nkt!!!
.........acha ujinga....grow up....acha ujinga kabisa....Huo ni umbeya, utaolewa
....acha ujinga.....grow up....acha ujinga kabisa.....acha utoto na ujuaji wa kishamba hata kama upo kwenye mtandaoHuo ni umbeya, utaolewa
Minalfaidhina...
kumbe upo watsap?
huyu mtu hajui kukudekeza naona..
Natamani ningemjua huyo jamaa nikamshuri cha kufanya. Nilikutana na same position ya huyo jamaa about 3 months back. Nilikutana na binti mmoja nika fall in love so badly, in 3 weeks time nikawa nimeishampa zawadi za almost 2000 usd. kwa vile kazi zangu hunifanya niwe safarini mara kwa mara nilikuwa tayari kumlipia masters in uk this year. Nilimuonyesha upendo wa hali ya juu lakini akawa hasomeki kama hivi wewe. Mbaya zaidi nilimuuliza tangu mwanzo wa mahusino yetu kama yupo in relationship with someone else. N' she said yupo single, but on our way nikahisi hana hisia za kweli juu yangu nikasema na moyo wangu. Nikakubali maumivu makali ya mara 1 lakini kwa sasa nipo ktk kilele cha maumivu hayo naelekea kuwa huru na mwenye furaha.. btw unaweza kumuonyesha ujumbe huu huenda ukamfaa...
Minal faizin
Basi anakuvizia akupe VVU.
Wee mlie hela yake tuu dogo langu, zitakapomuishia atakimbia mwenyewe!
Inaezekana uko sahihi Faiza lkn kusema ukweli hata pesa zake sizitaki, simfeel kabisa lkn hanielewi, king'ang'anizi sana
Embu angalia ulicho post kwenye thread nyingine:
Tulizana wewe ki kicheche ......embu check hapa chini umeandika nini? Kwa hiyo unataka kuachana na mdogo mtu baada ya kumpata kaka mtu?
wassup, fb, viber, kote upo..tango je..na badoo?..wewe ni design na mambo mengi aiseee...!!!