Simpendi hata kidogo

Kila siku nasema humu ndani,wanawake mnapenda wanaume wenye vichwa ngumu na pasua kichwa ndio raha yenu...mkiona mwanaume anakuwa hivyo then mnaona yupo tofauti kabisaa...ni kweli kabisa wala sishangai hata kidogo

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Subiri ukishafika miaka 26 kilometer zikifika laki moja na ushee utaanza kumtafuta! Kwa sasa tumia tu usichana wako tu jirushe kula bata sana enjoy.

Upo right kabisaa anaonekana yupo under age huyu,maana wenzake wanasaka watu kama hao yeye anasema hampendi,wacha aienjoy kwanza na vijana

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Natamani ningemjua huyo jamaa nikamshuri cha kufanya. Nilikutana na same position ya huyo jamaa about 3 months back. Nilikutana na binti mmoja nika fall in love so badly, in 3 weeks time nikawa nimeishampa zawadi za almost 2000 usd. kwa vile kazi zangu hunifanya niwe safarini mara kwa mara nilikuwa tayari kumlipia masters in uk this year. Nilimuonyesha upendo wa hali ya juu lakini akawa hasomeki kama hivi wewe. Mbaya zaidi nilimuuliza tangu mwanzo wa mahusino yetu kama yupo in relationship with someone else. N' she said yupo single, but on our way nikahisi hana hisia za kweli juu yangu nikasema na moyo wangu. Nikakubali maumivu makali ya mara 1 lakini kwa sasa nipo ktk kilele cha maumivu hayo naelekea kuwa huru na mwenye furaha.. btw unaweza kumuonyesha ujumbe huu huenda ukamfaa...
Minal faizin
 
Duh ndo mkome, kila mkiona tundu mwataka kuchomeka!!

Na nyie ni wanaume wa namna gani mnaotukana wanawake,,, yan atakaenitukana na mm namtukana anakaeniheshimu tutaheshimiana,,,,,,END OF STORY
 
Pole kaka kwa yaliokukuta, next tme uwe makini, sio lazma utumie pesa zako ili mwanammke akupende and dnt be too good to them, mwonyeshe unanpenda lkn sio kupitiliza sisi wanawake tunachoka haraka mwisho utaitwa zoba,

Happy Eid
 
Sometimes it happens una fall in real love not for sexual needs. Lakini ndio hivyo tena sometime inabidi tukubali, letting go does not meaning giving up, but accepting that there are things that cannot be.
 
Ukishampiga chini huyo akupendaye, jiandae kuchezewa na hao watoto wa mjini unaochachawa, kama si kupagawa nao!
 
Si ungenambia tu mpenz wangu jamani mpaka umeamua kunitangaza huku, but nitaendelea kukupenda kwa sababu umeuteka sana moyo wangu ni vigumu sana kuukubali ukweli huu mchungu sana kwamba hunipendi. Eid Mubarak nawe pia
 
Sometimes it happens una fall in real love not for sexual needs. Lakini ndio hivyo tena sometime inabidi tukubali, letting go does not meaning giving up, but accepting that there are things that cannot be.

Sometimes we women never understand da diffrence btn the two, u knw the phrase good girls love bad boys, ryt?? Dats jus the way it is

Pa1
 
minal faidhina.............

fanya ile kitu roho inataka.........
 
Kwi kwi kwi!!!sitaki nataka wewe.........basi uwe unakataa vijisenti vyake,don't call him kwa msaada wowote, Mwisho jst FACE HIM mwambie uso kwa uso huku akikutazama kua humtaki.
Alafu Jiandae maana : What goes around Comes Around
 
Anajifanya msela kumbe dada poa x 3
kumbe dada poa x 3
masela wanang'oa x2
kumbe dada poa
masela wanang'oa
analiwa hata kwa buku
anashindwa kupiga buku.
Anagawa nyapu kwa buku.
 
I've done that ziad ya mara mia, hadi fb wassap nkamblok tatizo hanielewi
 
Anajifanya msela kumbe dada poa x 3
kumbe dada poa x 3
masela wanang'oa x2
kumbe dada poa
masela wanang'oa
analiwa hata kwa buku
anashindwa kupiga buku.
Anagawa nyapu kwa buku.

Wacha wee babu umetisha!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…