Simpendi hata kidogo

Usilazimishe mapenzi kwa sababu ya vitu... Kuanzia sasa acha kupokea vitu au hela kutoka kwake, itakuwa msg tosha kuwa humtaki...
 
Dah!kama umemtamkia humpendi na bado anakuja nahisi ni tatzo lake binafsi,chukua hatua inayofuata usipokee chochote kutoka kwake!
 
Dah!kama umemtamkia humpendi na bado anakuja nahisi ni tatzo lake binafsi,chukua hatua inayofuata usipokee chochote kutoka kwake!

Ahsante kwa ushauri wako
 
anapokupanda unafika vilele...na ukifika ..unasemaje?
 
Mswahili
1. Mtu aneongea kiswahili
2. Mtu anaeshi pwani ya afrika mashariki
3. Mtu mbea/ asie tunza ahadi
The list goes on
Chek ww unafall wapi kabla cjakujibu swali lako


....sidondokei popote....

...najitahidi kukuelewa lakin nashndwa..
 
....sidondokei popote....

...najitahidi kukuelewa lakin nashndwa..


Mh naona unagonga ngeli maan hata #1 haikuhusu

Huwez kunielewa cz hutaki kunielewa, unachofikiria sicho, hata nkikwambia ukweli itabaki kung'ang'ana na hoja yako so suit yo self
 
Mh naona unagonga ngeli maan hata #1 haikuhusu

Huwez kunielewa cz hutaki kunielewa, unachofikiria sicho, hata nkikwambia ukweli itabaki kung'ang'ana na hoja yako so suit yo self


....hujanijibu swali langu la msingi..

Huyo jamaa anakupandisha mlima.?
 
Inaezekana uko sahihi Faiza lkn kusema ukweli hata pesa zake sizitaki, simfeel kabisa lkn hanielewi, king'ang'anizi sana

ni type na mabinti wanaosoma chuo lakini hawajielewi! Hawafikiri kuna maisha baada ya chuo, tamaa za kupenda vitu kama pesa, nguo, magari na kuoneshea wenzao kwamba anatoka na ma handsome boy wenye wallet nene ndo mpango mzima.
Kiufupi ni muendelezo wa ukicheche tu, hamna lolote. Na huyo jamaa keshawasoma aina ya marafiki ulionao na ndo maana hataki utoke nao out hao viruka njia wenzako.

Kiufupi tulizana usome, umalize shule then uje mtaani utafakari ili ujue mchumba wa kukuoa awe na character zip? Kiufupi huwezi kumpata aliye perfect 100%. Huyo jamaa naye ukimuuliza kuhusu wewe anaweza kukutoa kasoro kibao!

Soma historia ya Obama na Michelle Obama ujue walianziana wapi, kikubwa jifunze mindset ya michelle ilikuwaje juu ya Obama. Utaona jinsi wanawake wenye think tank kubwa wanavyoitizama future leo.
 
Embu angalia ulicho post kwenye thread nyingine:



Tulizana wewe ki kicheche ......embu check hapa chini umeandika nini? Kwa hiyo unataka kuachana na mdogo mtu baada ya kumpata kaka mtu?

 
sooner or later utaleta sredi ya kuomba ushauri kwa kuachwa
 
Maisha ya cumpus huwa yanawazuzua sana mabinti wengi.we maliza shule urudi kitaa uone jinsi utakavoanza kushobokea hadi wasukuma mikokoteni.
 
Ngoja ziishe semister uanze kuhaha na kuhamia jukwaa la Love Connect maana ndo zenu kujifanya hampendi sasa hv kisa kabumu kanakupa kiburi cha kuhudhuria saluni. Mpende akupendae wewe acha nyodo za kijinga hizo utakuja kujutia hayo maneno yako badae we endelea kuwatamani akina eat and run hvy hvy!
 
uko chuo? ushakula vyake? kwann ulmkubal ili ule vyake? maliza chuo uanze kutafuta maisha bla yy km siutajiuza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…