Kwa kweli simpendi huyu kaka, kajitahidi vya kutosha kunionyesha ananipenda, kanipa kila kitu, tatizo hanisisimui, hanivutii hata, nimejaribu kujifunza kumpenda japo angalau niweze kumlipa wema alionifanyia lakin wapi, nimemwambia zaidi ya mara elfu kua hayupo moyóni lakin hataki kuelewa, yani ananiboa.
Kuna kipindi nliamua nimpe chance myb baada ya kudate ningeweza kumlike lakini wapi, anatabia ya kupenda kunicontrol, mara oo usiende chuo ntakupa chochote unachohitaji, mara usiwe pic zako fb, uwe unantumia kwa wassap,, mara sipendi utoke na marafiki zako kama unataka kwenda out niambie ntakutoa,,,yan inshort alinichosha.
His the guy I can call hata usiku wa manane and hell come to my rescue, lakn love, hapana moyo wangu umemkataa kata kata,
Love is something else kwa kweli.
Eid mubarak wanaMMU