Simpendi Dada Yangu!

inaonekana una tatizo mkuu wangu...kwa jinsi ulivyoeleza hapo juu unaonekana wewe uko katika kundi la watu wenye tabia ya melanchoric-phlegimatic... watu wenye tabia hii tatizo lao kubwa ni uoga, kuchukia pasipo sababu,kutopenda,kutojiami,hawezi kuanziasha jambo kwa hofu ya kuchekwa au kukosolewa, kuchukia wenzi wao.......so mkuu kama hakuna tatizo kati yako wewe na dada yako na dada yako hajakufanyia jambo baya huko siku za nyuma basi tatizo liko kwako......ni heri ungekuwa phegmatic-melanchoric ingekuwa kinyume cha hayo niliyoeleza hapo juu.....na mbaya zaidi kama ungekuwa pure melanchoric ugepata tabu sana....

kama hakuna tatizo mlilofanyiana wewe na dada yako basi tatizo ni lako mkuu wangu....jinsi ya kujinasua katika hilo taratibu unatakiwa kujenga tabia ya kuwa associate na wenzako.....jalibu kundoa mitizamo hasi kichwani mwako hasa juu ya dada yako....jifunze kuongea kiwaz na kama una jambo usikae nalo moyoni..we liseme....acha uoga...ondoa hiyo agora phobia uliyo nayo hapo utakuwa salama na ndiyo inakufanya ukimuona dada yako mbele yako hapo hapo unaanza kujiminya ndani na kuanza kutafuta upenyo .......

kama una swali uliza
 
Asante sana mkuu kwa kunielewa na pia ushauri wako uliotulia.
 
Nafikiri huyo dada yako atakuwa mwanga,si unajua tena mambo ya lyamba la mfipa!cha msingi ni kujiepusha naye tu!!
 
Asante kwa ushauri Ashadii. Tupo wanne na huyo dada kanizidi miaka kumi.
 
Mkuu Katavi,

Tatizo katika maelezo yako ni kuwa au hulijui au kwa makusudi au bahati mbaya hutaki kulijua tatizo. It is unbecoming to just hate somebody, just like that? No. Siku zote kuna TATIZO na kutokana na TATIZO hili ndipo 'kumchukia' fulani kunapoanzia.

a) Wewe na dada yako mmepishana miaka mingapi? (Hii ni muhimu sababu kama mmepishana sana basi ina maana hata hamkuwahi kucheza pamoja, hampo that close)
b) Je, una-recall tukio lolote ambalo aidha wewe ulimfanyia hivyo kukufanya kujihisi guilty au yeye alikufanyia na hukupendezwa nalo?
c) Na huku kumchukia kumeanza abruptly just like that au kumekuwepo kwa muda mrefu?
d) Kwa kumchukia huku. Je, kunakufanya ujisikie afadhali au kunakuumiza na wewe pia na unatamani labda ingekuwa tofauti?

Samahani nina maswali mengi kuliko majibu. Pia tunashea tatizo, mimi ninao wengi na siwapendi ila siwachukii!
 
jambo la kawaida,
Hata mimi haziivi
Yani ni kawaida Katavi.

Ila hua ckosi uhuru akiwepo sema mahusiano yangu na yake hayaivi sana.
 

Inawezekana wewe na yeye baba yenu sio mmoja hence damu haziendani therefore trace back and ask your mom the true dady for you and your sister.
 
duh!una tatizo sio mchezo
 
a)kanizidi miaka kumi b)hakuna tukio lolote alilonifanyia la kuchukiza zaidi ya adhabu ambazo alituadhibu enzi wadogo pale tulipoenda ndivyo sivyo. c)nadhani hii imeanza taratibu na zaidi tulipoanza kujitegemea, ule upendo kwa dada huyu umepungua sana tofauti na dada zangu wengine!
 
Inawezekana wewe na yeye baba yenu sio mmoja hence damu haziendani therefore trace back and ask your mom the true dady for you and your sister.
Bahati nzuri wote wanne tumemfanana baba yetu!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…