Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,557
- 8,662
Pamoja na ushahidi kuwa wazi kuwa taratibu za ununuzi wa UDA zilikiukwa jambo ambalo lilileta matatizo makubwa na wabunge wa DAR wa vyama vyote wakiongozwa na kina Zungu,Mtemvu ,Mdee na Mnyika ..juzi Rais amebariki deal ya mauziano hayo kwa kukubali pesa bilioni 5 zitumike
Bado watu hasa wataalamu wanajiuliza ni nani aliyefanya udhamini mpya wa kufikia kiwango cha shilingi bilioni 5.8 ambazo Simona wamelipia kupata umiliki wa asilimia 51% ...wametumia kigezo gani kupata hizo hisa ....
Inajulikana kuwa majiji yote makubwa duniani huwa angalau na hisa za makampuni ya usafiri wa umma , hii ina maana JIJI hawana hata hisa kidogo za kuwawezesha kupata uwakilishi kwenye UDA . Angalau wangebaki na asilimia 10%
Lakini pia watu wanaangalia namna JPM anavyoshughulikia na ufisadi na wanaona sura mbili .....kuwa kuna watu wametuhumiwa kwa ufisadi wako kizuizini KEKO sasa na hawajulikani watatoka lini , na hata baada ya kushauriwa na JAJI MKUU aliyetoka kuwa awaachie dhamana pamoja na wengine walio ndani "kisiasa",jibu kalitoa kwa kumpa UKAIMU JAJI MKUU ...ili asiweze kuwa huru kuwaachia
Simon ingetakiwa naye awe mahakamani au awe KEKO kama wenzake au aunganishwe kwenye kesi ya kina IDDI SIMBA ....lakini homeboy kaamua kufanya kama aoni...,kaamua kubariki deal zima, kuna watu kama kina LUGUMI waana tuhuma nzito tu lakini kaamua kufanga macho ...ila kuna wengine hata wakitajwa tu .....tayari wanakamatwa ......sijawahi kuona nepotism ya namna hii kwenye vita ya ufisaid
UKAWA kukataa kutumia hizi pesa BILIONI 5.8 ni mtihani mkubwa kisiasa ....wangeamua kuzibariki uhalali wao wote kwenye vita hii nzima pamija na wabunge wa ccm dar kwa ujumla wao ingekuwa haina uhalali .......ni kama kula haramu ...., na JPM ndio anaweza kubariki hayo matumizi kibabe ..huo utakuwa ni mtego ambao ni wazi ataingia na kuwa sehemu ya kashfa ya kifisadi ya UDA