Simon Mathias Kipala tumaini jipya UVCCM mpya

Huyu kipara kumbe ni gamba. Kipindi kile anashinda urais Daruso alikua akijifanya nae in kamanda. Aisee kumbe Udsm kipind kile tuliinyima kura miccm mingine then tukalipa li ccm lingine. KIPARAAA
Leo nimeshtuka sana kuona huyu jamaa kumbe Ni chama tawala tofauti na alivyo tuaminisha kipindi Cha Rev' square!
 
Chama cha Mapinduzi kama ilivyo desturi yake kinaendelea na chaguzi zake na mara hii ni ndani ya jumuiya zake za wazazi,wanawake na jumuiya muhimu ya vijana UVCCM.

Leo nitajikita ndani ya jumuiya ya vijana UVCCM Taifa na hasa kwa huyu Simon Mathias Kipala. Huyu kwa mnaokumbuka vizuri amewahi kuwa Rais wa serikali ya wanafunzi pale Mlimani (UDSM) maarufu kama DARUSO, pia amewahi kuwa mwenyekiti wa shirikisho la vyuo vikuu yaani TAHLISO.
Mathias Kipala kama anavyojulikana na wengi amekuwa kwa Muda fulani mtumishi wa chama makao makuu na katibu msaidizi Ukerewe.

Kutokana na sifa hizo na nyingine kadhaa anastahili na nadiriki kusema ndiye miongoni mwao mwenye uzoefu, ushawishi, nia,uadilifu na uwezo wa kuirudishia jumuiya hii makali iliyokuwa nayo huko nyuma, akiwa amebobea kwenye sayansi ya siasa na utawala anao uwezo huo wa kuiongoza jumuiya hii kikamilifu na tena kwa kasi ya mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Tanzania Mh Dkt Magufuli ili kuleta maana na matendo ya mageuzi chanya ndani ya CCM na serikali kwa kuisimamia kikamilifu serikali ambayo imepewa ridhaa ya kuongoza Tanzania kwa kutimiza kikamilifu ahadi ilizoahidi kipindi kuelekea uchaguzi mkuu wa 2015.

Mara kadhaa Mh Rais amenukuliwa akiishangaa jumuiya hii kujitenga mbali na majukumu na wajibu wake na hasa kuandaa vijana ambao ndio wenye jukumu la uongozi kwa falsafa yake (Mh Magufuli).
UVCCM MPYA inamhitaji sana Kipala ili kuelekea 2019/2020 chama kiwe imara zaidi kushiriki na kushinda uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu tukiwa wamoja, wenye ari na mbinu bora zaidi.

Ni matumaini yangu kuwa kwa haya machache niliyoyabainisha hapa wapigakura wote mtakapokutana Dodoma mtamchagua kiongozi huyu shupavu, imara, mcha Mungu, mwadilifu ili aende kuiongoza UVCCM MPYA katika kutekeleza majukumu yake ya msingi kikamilifu.

UVCCM MPYA inamhitaji Simon Mathias Kipala na hakika ndiye chaguo letu na kamwe tusikubali maneno ya hujuma Kwani watani zetu hawapendi safu imara maana wameuona moto wetu kwenye uchaguzi mdogo, hivyo tuendelee kupeleka majonzi Kwao tena kwa mbinu za kisasa zaidi na ari zaidi.

M Jr
Huyu Kipala amegushi umri, ameenda Rita kabadili vyeti vya kuzaliwa bado tunajidanganya kuwa atapambana na Rushwa, CCM leo imebadilika inaongozwa na wasukuma hata kama hawana sifa wakati wameachwa Vijana wenye sifa bila kujadiliwa hii dhambi itawatafuna
 
Huyu kijana kichwani ni mtupu sana, CCM imfungulie mradi wa kufuga kuku na bata huko atafanya vizuri sana
Ni mlevi, mzinzi na fisadi kweli, akiwa Rais wa serikali ya wanafunzi UDSM na Tahliso aliiba pesa ananunua gari lkn vyombo vya usalama vilivyofanya usahili vimefumba macho na kumpendekeza kwa vile ni Msukuma ili wamfurahishe mkuu
 
Huyo nae ni mpwa wake.....amejaza wapwa wake wengi sana...wengine wamemzunguka pale kumlinda wengine wako hazina wengine Mayanga constructions....wengine uvccm....daaaa awamu ya visasi na ukabila....n ufamilia!!! Mud taongeaaa
Huyu Kipala ni Afisa usalama yuko dawati la siasa ,dawati la siasa ndo lilifanya vetting ya wagombea wakishirikiana naye wakaamua kuchafua wagombea wote waliokuwa na nguvu kuliko yeye na kujaza watu wa kabila moja na kanda moja
 
Msimchafue Kijana wa watu, najua CHADEMA mnamuogopa sana huyu ndo maana mna kasi ya 4G hapa kujaribu kumchafua. Mtu kuzaliwa 1987 anakuwaje kijeba? Kwann ulazimishe ana miaka 36,kwani wewe mama yake? Mara hii wana CCM tupo imara na hatubabaishwi na kelele zenu, Mda huu fanyeni tathmini ya Tsunami iliyowakumba ya 42-1 wakati huo sisi tunapanga safu ya 2019/2020
 
Leo nimeshtuka sana kuona huyu jamaa kumbe Ni chama tawala tofauti na alivyo tuaminisha kipindi Cha Rev' square!
Nimeshangaa sana mkuu. Yaan sisi kipind mile tunaimba KIPARAA kumbe kadi ya kijan anamiliki.
 
Msimchafue Kijana wa watu, najua CHADEMA mnamuogopa sana huyu ndo maana mna kasi ya 4G hapa kujaribu kumchafua. Mtu kuzaliwa 1987 anakuwaje kijeba? Kwann ulazimishe ana miaka 36,kwani wewe mama yake? Mara hii wana CCM tupo imara na hatubabaishwi na kelele zenu, Mda huu fanyeni tathmini ya Tsunami iliyowakumba ya 42-1 wakati huo sisi tunapanga safu ya 2019/2020
Acha upuuzi ww, mie ccm huyu kipala hafai ni mzeee
 
Huyu Kipala ni Afisa usalama yuko dawati la siasa ,dawati la siasa ndo lilifanya vetting ya wagombea wakishirikiana naye wakaamua kuchafua wagombea wote waliokuwa na nguvu kuliko yeye na kujaza watu wa kabila moja na kanda moja
mods walivyokuwa waoga watafuta hii comment sasa hivi,ndio maana tunasema JF imenunuliwa na haina uhuru tena
 
Ni Kilaza mmoja hivi ambae....nae ni mpwa pia!!! Ukoo unashika hatamu zote za chama na serikali mtajuta....sidhani kama atatamani kutoka!!
Huyu Kipala ni Afisa usalama yuko dawati la siasa ,dawati la siasa ndo lilifanya vetting ya wagombea wakishirikiana naye wakaamua kuchafua wagombea wote waliokuwa na nguvu kuliko yeye na kujaza watu wa kabila moja na kanda moja
 
Huyu Kipala ni Afisa usalama yuko dawati la siasa ,dawati la siasa ndo lilifanya vetting ya wagombea wakishirikiana naye wakaamua kuchafua wagombea wote waliokuwa na nguvu kuliko yeye na kujaza watu wa kabila moja na kanda moja
Wewe umesema ukweli wote. Baada ya kuhudum kwa muda pale ofisi za CCM Dodoma,alijiunga hapo uliposema na ndo yupo hapo hadi sasa. Tatizo lake kubwa kuliko yote, ni mlevi wa kupindukia.
 
Huyu Kipala ni Afisa usalama yuko dawati la siasa ,dawati la siasa ndo lilifanya vetting ya wagombea wakishirikiana naye wakaamua kuchafua wagombea wote waliokuwa na nguvu kuliko yeye na kujaza watu wa kabila moja na kanda moja
Aiseeee humu ndani watu wajuvi sana
 
Ni mlevi, mzinzi na fisadi kweli, akiwa Rais wa serikali ya wanafunzi UDSM na Tahliso aliiba pesa ananunua gari lkn vyombo vya usalama vilivyofanya usahili vimefumba macho na kumpendekeza kwa vile ni Msukuma ili wamfurahishe mkuu
Mmmmmh!! sikumbuki kama Kipala (Mzee wa kijitonyama kwa sasa) alishawahi kumiliki gari akiwa pale UDSM ila hilo la ulevi uko sahihi, jamaa ni mlevi wa kupindukia. Kuna sehemu pale Survey panaitwa Brajec, hapo ndo palikuwa maskani yake,anakunyw hadi analala hapo hapo.
 
Ni mlevi, mzinzi na fisadi kweli, akiwa Rais wa serikali ya wanafunzi UDSM na Tahliso aliiba pesa ananunua gari lkn vyombo vya usalama vilivyofanya usahili vimefumba macho na kumpendekeza kwa vile ni Msukuma ili wamfurahishe mkuu
Duh,
Aisee
 
Chama cha Mapinduzi kama ilivyo desturi yake kinaendelea na chaguzi zake na mara hii ni ndani ya jumuiya zake za wazazi,wanawake na jumuiya muhimu ya vijana UVCCM.

Leo nitajikita ndani ya jumuiya ya vijana UVCCM Taifa na hasa kwa huyu Simon Mathias Kipala. Huyu kwa mnaokumbuka vizuri amewahi kuwa Rais wa serikali ya wanafunzi pale Mlimani (UDSM) maarufu kama DARUSO, pia amewahi kuwa mwenyekiti wa shirikisho la vyuo vikuu yaani TAHLISO.
Mathias Kipala kama anavyojulikana na wengi amekuwa kwa Muda fulani mtumishi wa chama makao makuu na katibu msaidizi Ukerewe.

Kutokana na sifa hizo na nyingine kadhaa anastahili na nadiriki kusema ndiye miongoni mwao mwenye uzoefu, ushawishi, nia,uadilifu na uwezo wa kuirudishia jumuiya hii makali iliyokuwa nayo huko nyuma, akiwa amebobea kwenye sayansi ya siasa na utawala anao uwezo huo wa kuiongoza jumuiya hii kikamilifu na tena kwa kasi ya mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Tanzania Mh Dkt Magufuli ili kuleta maana na matendo ya mageuzi chanya ndani ya CCM na serikali kwa kuisimamia kikamilifu serikali ambayo imepewa ridhaa ya kuongoza Tanzania kwa kutimiza kikamilifu ahadi ilizoahidi kipindi kuelekea uchaguzi mkuu wa 2015.

Mara kadhaa Mh Rais amenukuliwa akiishangaa jumuiya hii kujitenga mbali na majukumu na wajibu wake na hasa kuandaa vijana ambao ndio wenye jukumu la uongozi kwa falsafa yake (Mh Magufuli).
UVCCM MPYA inamhitaji sana Kipala ili kuelekea 2019/2020 chama kiwe imara zaidi kushiriki na kushinda uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu tukiwa wamoja, wenye ari na mbinu bora zaidi.

Ni matumaini yangu kuwa kwa haya machache niliyoyabainisha hapa wapigakura wote mtakapokutana Dodoma mtamchagua kiongozi huyu shupavu, imara, mcha Mungu, mwadilifu ili aende kuiongoza UVCCM MPYA katika kutekeleza majukumu yake ya msingi kikamilifu.

UVCCM MPYA inamhitaji Simon Mathias Kipala na hakika ndiye chaguo letu na kamwe tusikubali maneno ya hujuma Kwani watani zetu hawapendi safu imara maana wameuona moto wetu kwenye uchaguzi mdogo, hivyo tuendelee kupeleka majonzi Kwao tena kwa mbinu za kisasa zaidi na ari zaidi.

M Jr
Inasikitisha kuona Mh, Magufuli kwenye vikao kaacha ripoti ya usalama wa Taifa kupitisha majina ya wagombea ktk Jumuiya za chama na kutumia ripoti ya; Paul Makonda, Polepole na Simoni Mathias kipala.

Mara baada ya kuchukua na kurejesha fomu tarehe 10/7/2017 Mh, Magufuli aliagiza vyombo vya usalama kufanya vetting ya wagombea wote kuanzia wilaya mpaka taifa kwa chama na jumuiya zake, cha kushangaza katika wilaya na mikoa katumia ripoti ya usalama lkn ilipofika ngazi ya Taifa kaacha ripoti ya usalama wa Taifa na maadili chama baada ya kuona watu wake wa karibu hawajapendekezwa

Mfano, katika Jumuiya ya UVCCM Taifa idara ya usalama ilipendekeza watu sita kutoka 113 ambao ni;
1,Sofia mfaume Kizigo
2.Khadija Shabani (Keisha)
3.Omary Jabiri
4.Josamu Kengia
5.Suleimani Serera na
6.Mwita Nyarukururu

Majina haya baada ya kupendekezwa alipewa Kaimu Katibu mkuu wa uvccm Taifa (shaka), baasha nyingine kapewa Katibu wa organization na kumpelekea Mh, Magufuli ikulu

Lkn cha kushangaza Mh, magufuli kaacha haya mapendekezo ya usalama wa Taifa na kutumia mapendekezo ya Makonda na polepole,

Ushauri wangu kwa Vijana wa ccm tuwe makini tusikubali watu watumie ccm kama chombo cha ukoo flani hawa watu wanaharibu chama chetu
 
Chama cha Mapinduzi kama ilivyo desturi yake kinaendelea na chaguzi zake na mara hii ni ndani ya jumuiya zake za wazazi,wanawake na jumuiya muhimu ya vijana UVCCM.

Leo nitajikita ndani ya jumuiya ya vijana UVCCM Taifa na hasa kwa huyu Simon Mathias Kipala. Huyu kwa mnaokumbuka vizuri amewahi kuwa Rais wa serikali ya wanafunzi pale Mlimani (UDSM) maarufu kama DARUSO, pia amewahi kuwa mwenyekiti wa shirikisho la vyuo vikuu yaani TAHLISO.
Mathias Kipala kama anavyojulikana na wengi amekuwa kwa Muda fulani mtumishi wa chama makao makuu na katibu msaidizi Ukerewe.

Kutokana na sifa hizo na nyingine kadhaa anastahili na nadiriki kusema ndiye miongoni mwao mwenye uzoefu, ushawishi, nia,uadilifu na uwezo wa kuirudishia jumuiya hii makali iliyokuwa nayo huko nyuma, akiwa amebobea kwenye sayansi ya siasa na utawala anao uwezo huo wa kuiongoza jumuiya hii kikamilifu na tena kwa kasi ya mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Tanzania Mh Dkt Magufuli ili kuleta maana na matendo ya mageuzi chanya ndani ya CCM na serikali kwa kuisimamia kikamilifu serikali ambayo imepewa ridhaa ya kuongoza Tanzania kwa kutimiza kikamilifu ahadi ilizoahidi kipindi kuelekea uchaguzi mkuu wa 2015.

Mara kadhaa Mh Rais amenukuliwa akiishangaa jumuiya hii kujitenga mbali na majukumu na wajibu wake na hasa kuandaa vijana ambao ndio wenye jukumu la uongozi kwa falsafa yake (Mh Magufuli).
UVCCM MPYA inamhitaji sana Kipala ili kuelekea 2019/2020 chama kiwe imara zaidi kushiriki na kushinda uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu tukiwa wamoja, wenye ari na mbinu bora zaidi.

Ni matumaini yangu kuwa kwa haya machache niliyoyabainisha hapa wapigakura wote mtakapokutana Dodoma mtamchagua kiongozi huyu shupavu, imara, mcha Mungu, mwadilifu ili aende kuiongoza UVCCM MPYA katika kutekeleza majukumu yake ya msingi kikamilifu.

UVCCM MPYA inamhitaji Simon Mathias Kipala na hakika ndiye chaguo letu na kamwe tusikubali maneno ya hujuma Kwani watani zetu hawapendi safu imara maana wameuona moto wetu kwenye uchaguzi mdogo, hivyo tuendelee kupeleka majonzi Kwao tena kwa mbinu za kisasa zaidi na ari zaidi.

M Jr
pumba.umeshindwa kuorganize matukio
 
Back
Top Bottom