mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,419
- 17,759
wale wengi walikuwa ni CHADEMA vs CCM...Nimeshangaa sana mkuu. Yaan sisi kipind mile tunaimba KIPARAA kumbe kadi ya kijan anamiliki.

Sizonje na ziro brain wana ajenda binafsi funga mdomo ikibidi shona Kwa uziInasikitisha kuona Mh, Magufuli kwenye vikao kaacha ripoti ya usalama wa Taifa kupitisha majina ya wagombea ktk Jumuiya za chama na kutumia ripoti ya; Paul Makonda, Polepole na Simoni Mathias kipala.
Mara baada ya kuchukua na kurejesha fomu tarehe 10/7/2017 Mh, Magufuli aliagiza vyombo vya usalama kufanya vetting ya wagombea wote kuanzia wilaya mpaka taifa kwa chama na jumuiya zake, cha kushangaza katika wilaya na mikoa katumia ripoti ya usalama lkn ilipofika ngazi ya Taifa kaacha ripoti ya usalama wa Taifa na maadili chama baada ya kuona watu wake wa karibu hawajapendekezwa
Mfano, katika Jumuiya ya UVCCM Taifa idara ya usalama ilipendekeza watu sita kutoka 113 ambao ni;
1,Sofia mfaume Kizigo
2.Khadija Shabani (Keisha)
3.Omary Jabiri
4.Josamu Kengia
5.Suleimani Serera na
6.Mwita Nyarukururu
Majina haya baada ya kupendekezwa alipewa Kaimu Katibu mkuu wa uvccm Taifa (shaka), baasha nyingine kapewa Katibu wa organization na kumpelekea Mh, Magufuli ikulu
Lkn cha kushangaza Mh, magufuli kaacha haya mapendekezo ya usalama wa Taifa na kutumia mapendekezo ya Makonda na polepole,
Ushauri wangu kwa Vijana wa ccm tuwe makini tusikubali watu watumie ccm kama chombo cha ukoo flani hawa watu wanaharibu chama chetu
kaghushi vyeti kama kaka yake Ma.Ko.nda.?Huyu Kipala amegushi umri, ameenda Rita kabadili vyeti vya kuzaliwa bado tunajidanganya kuwa atapambana na Rushwa, CCM leo imebadilika inaongozwa na wasukuma hata kama hawana sifa wakati wameachwa Vijana wenye sifa bila kujadiliwa hii dhambi itawatafuna[/QUO
huyu ni Mpambe wa Paul Makonda,na mkimpa huyu hiyo nafasi mmekwisha
Time will tell nukuu from lemaHuyo nae ni mpwa wake.....amejaza wapwa wake wengi sana...wengine wamemzunguka pale kumlinda wengine wako hazina wengine Mayanga constructions....wengine uvccm....daaaa awamu ya visasi na ukabila....n ufamilia!!! Mud taongeaaa
HahahaChama cha Mapinduzi kama ilivyo desturi yake kinaendelea na chaguzi zake na mara hii ni ndani ya jumuiya zake za wazazi,wanawake na jumuiya muhimu ya vijana UVCCM.
Leo nitajikita ndani ya jumuiya ya vijana UVCCM Taifa na hasa kwa huyu Simon Mathias Kipala. Huyu kwa mnaokumbuka vizuri amewahi kuwa Rais wa serikali ya wanafunzi pale Mlimani (UDSM) maarufu kama DARUSO, pia amewahi kuwa mwenyekiti wa shirikisho la vyuo vikuu yaani TAHLISO.
Mathias Kipala kama anavyojulikana na wengi amekuwa kwa Muda fulani mtumishi wa chama makao makuu na katibu msaidizi Ukerewe.
Kutokana na sifa hizo na nyingine kadhaa anastahili na nadiriki kusema ndiye miongoni mwao mwenye uzoefu, ushawishi, nia,uadilifu na uwezo wa kuirudishia jumuiya hii makali iliyokuwa nayo huko nyuma, akiwa amebobea kwenye sayansi ya siasa na utawala anao uwezo huo wa kuiongoza jumuiya hii kikamilifu na tena kwa kasi ya mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Tanzania Mh Dkt Magufuli ili kuleta maana na matendo ya mageuzi chanya ndani ya CCM na serikali kwa kuisimamia kikamilifu serikali ambayo imepewa ridhaa ya kuongoza Tanzania kwa kutimiza kikamilifu ahadi ilizoahidi kipindi kuelekea uchaguzi mkuu wa 2015.
Mara kadhaa Mh Rais amenukuliwa akiishangaa jumuiya hii kujitenga mbali na majukumu na wajibu wake na hasa kuandaa vijana ambao ndio wenye jukumu la uongozi kwa falsafa yake (Mh Magufuli).
UVCCM MPYA inamhitaji sana Kipala ili kuelekea 2019/2020 chama kiwe imara zaidi kushiriki na kushinda uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu tukiwa wamoja, wenye ari na mbinu bora zaidi.
Ni matumaini yangu kuwa kwa haya machache niliyoyabainisha hapa wapigakura wote mtakapokutana Dodoma mtamchagua kiongozi huyu shupavu, imara, mcha Mungu, mwadilifu ili aende kuiongoza UVCCM MPYA katika kutekeleza majukumu yake ya msingi kikamilifu.
UVCCM MPYA inamhitaji Simon Mathias Kipala na hakika ndiye chaguo letu na kamwe tusikubali maneno ya hujuma Kwani watani zetu hawapendi safu imara maana wameuona moto wetu kwenye uchaguzi mdogo, hivyo tuendelee kupeleka majonzi Kwao tena kwa mbinu za kisasa zaidi na ari zaidi.
M Jr
Huyu jamaa amefariki Dunia.Chama cha Mapinduzi kama ilivyo desturi yake kinaendelea na chaguzi zake na mara hii ni ndani ya jumuiya zake za wazazi,wanawake na jumuiya muhimu ya vijana UVCCM.

Lini ? Wapi ? Shida ni nini ?Huyu jamaa amefariki Dunia.
May his soul rest in eternal Peace.
Simon Mathias Kipala is no more.
Aliumwa?Tutaonana tena Mathias... Rest easy man
Gone too soonR.I.P Kijana wa Idarani