Asante Mtambuzi, sasa nimeridhika,Dah! Kisa kinasisimua kweli, ila polisi nao walifanya vibaya kumuua, angekuwa ametoka na silaha ndo wangepambana naye,
hii ni rahisi sana hawa watu wana lyfestyle ya ajabu sana tena si tu jina hata kazi yake unaweza usijue...Duh!inakuaje unafikia mpaka hatua ya kuishi na mtu bila kujua full name yake?anyway thank u mtambuzi kwa kisa hiki..
Duh!inakuaje unafikia mpaka hatua ya kuishi na mtu bila kujua full name yake?anyway thank u mtambuzi kwa kisa hiki..
Y kujiingiza katika hatari ona
sasa umeiachia maumivu familia yako iliyo kuwa ikikutegemea! Pole kwa
familia yako na mungu akuhukumu kwa matendo yako Amin.
mkuu umenikumbusha mbali sana..matheri alikua mdogo sana kwa Zombie...ila troops ya kina matheri ndo ile ya kina Kima na simoni Kimathi ambao wamefungwa moshi....huyu matheri haingii hata kidogo kwa Zombi,Mwamajuja na wengine wa enzi zile mbeya...sasa Hv Zombie umri umekimbia na yupo Zambia alipokimbilia baada ya mkapa kusema lazima afie jela