Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Heh heh huko ndio kwa Obama bana lazima ufanye kazi kwa bidii,na si kuuza sura,du Wamarekani si mchezo kumuzebua ex-shemeji yetu ndio nini?kiingereza cha uingereza kwa maekani ni buure kabisa ni sawa na kiswanglish cha Kenya ukipeleka bongoAccent ilimuangusha....