Huyu ni Ramadhan Jilisha Mayenga amefariki siku 3 baada ya kuhutubia mkutano wa hadhara katika kijiji cha Lalago kilichopo Wilayan Maswa, Simiyu.
Aidha kamanda huyo alihutubia mkutano huo ulioitishwa maalum kuwashukuru wananchi kwa kukipatia chama hicho ushindi katika baadhi ya vitongoji.
Katika hotuba yake kamanda huyo alizungumzia namna Diwan wa kata ya Lalago Alli Mbariki (CCm) asivyowajibika ikiwemo kutohudhuria vikao vya halmashauri, kutochangamkia miradi mbali mbali ya kijamii km vile maji, uzembe uliofanyika mpaka kupelekea kiwanda cha mzungu Cargil kufa na kuwakosesha ajira vijana, kutokuitisha mikutano kuongea na wananchi wake ili waweze kumpatia matatizo yao kama wananchi.
Kamanda huyo amefariki leo asubuh ya tarehe 3/2/2015.
CCM hao wanataka kumfanya msukule, uchawi at work. Hatuogopi tutachangua mwingine bado tuna hazina
Huyu ni Ramadhan Jilisha Mayenga amefariki siku 3 baada ya kuhutubia mkutano wa hadhara katika kijiji cha Lalago kilichopo Wilayan Maswa, Simiyu.
Aidha kamanda huyo alihutubia mkutano huo ulioitishwa maalum kuwashukuru wananchi kwa kukipatia chama hicho ushindi katika baadhi ya vitongoji.
Katika hotuba yake kamanda huyo alizungumzia namna Diwan wa kata ya Lalago Alli Mbariki (CCm) asivyowajibika ikiwemo kutohudhuria vikao vya halmashauri, kutochangamkia miradi mbali mbali ya kijamii km vile maji, uzembe uliofanyika mpaka kupelekea kiwanda cha mzungu Cargil kufa na kuwakosesha ajira vijana, kutokuitisha mikutano kuongea na wananchi wake ili waweze kumpatia matatizo yao kama wananchi.
Kamanda huyo amefariki leo asubuh ya tarehe 3/2/2015.
Huyo kamanda Mungu amweke mahali pema peponi , ila kifo chake kutokea ghafla namna hiyo ni mashaka makubwa sana !!!Huyu kamanda nilimfahamu vizur sana, alikuwa tumain jipya kwa kata ya lalago alikuwa ni mtu wa watu alikuwa tayar kuwatumikia watu, dhamira yake ilijionesha dhahiri, kijiji kimegubikwa na simanz kimepoteza shujaa muhimu mpganaji wa kweli mtafta haki
By Mwl. MAKOTA.
Nimesikitishwa sana na kifo cha Ramadhan, ni pigo kwa jamii yote ya lalago kumpoteza kijana mpiganaji na mpenda maendeleo. R.I.P JILISHA.
ah haha haaaa hahaa...........i expected this, R.I.P kamandakAlogwa na Diwani