Similarities between Nyerere and Zitto Kabwe

Acha utani na propaganda za kitoto. Huwezi kulinganisha mlima na kichuguu!! Similarities between Nyerere and Zitto? As for now, nothing. Two different life! May be later. It is up to Zitto to prove, if there is, any in his future life.
 
Ukiwa msaliti dhidi ya ndugu zako waliokuwa na mipango na nia njema basi hiyo roho itakutesa sana na huwezi kuwa na amani maishani hata kama usaliti huo umekufanya uwe na mali nyingi. Hufa ukiwa huna amani, na mali hizo zitawafarakanisha wanae.Na mara zote taswira yake hufifia kama usiku wa manane. Amani itarudi tu iwapo msaliti atajirudi na kurudi kwa ndugu zake na KUWAANGUKIA KWA DHATI YA MOYO
 
8.Nyerere hajawahi kula uroda wa diva lakn zitto ameula
9.zitto anamiliki majumba na hammer nyerere hakuwahi kumilik hayo.
10. Nyerere hakuwa msaliti wa nchi na chama . Zito ni msaliti wa nchi na chama
 
Hapo kwa Mtume Muhammad<SAW> rekebisha,,,,,Kipenzi cha ALLAH ni born town wa Makka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…