Hawa ni kama panya buku (wakifanana na sungura hasa kichwani). Kama panya, nao pia wanatumika sana katika tafiti za kisanyansi. Kwa kiingereza wanaitwa "guinea pigs".
hawa ni kama panya buku (wakifanana na sungura hasa kichwani). Kama panya, nao pia wanatumika sana katika tafiti za kisanyansi. Kwa kiingereza wanaitwa "guinea pigs".
Ni kweli hao uliowasema wanaitwa Seal, lakini pia kwa mikoa ya kaskazini na baadhi ya maeneo ya DSM huwaita simbilisi Sili.... kuna jamaa alikuwa akiwafuga mitaa ya kinondoni shamba miaka ya tisini