adakiss23
JF-Expert Member
- Jan 23, 2011
- 4,477
- 4,270
SimbaSC imekuwa klabu ya kwanza kunyakua kombe la urafiki baada ya kuibanjua AzamFC kwa Penati 3_1 baada ya kutoka 2_2 ktk muda wa kawaida. Shujaa wa Simba alikuwa nahodha Juma Kaseja baada kufuta penati 2 za Azam huku moja ikiota mbawa. Ni mwanzo mzuri kabla ya kombe ya Kagame kuanza kwani itakuwa imeongeza morali ya wachezaji 'imetia ndimu' kama watoto wa mjini wanavyosema. Viva Mnyama Viva Prof Milovan..
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums