SimbaSC Mabingwa wa Kwanza wa Kombe la Urafiki 2012-13 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

SimbaSC Mabingwa wa Kwanza wa Kombe la Urafiki 2012-13

Discussion in 'Sports' started by adakiss23, Jul 13, 2012.

 1. adakiss23

  adakiss23 JF-Expert Member

  #1
  Jul 13, 2012
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 3,346
  Likes Received: 655
  Trophy Points: 280
  SimbaSC imekuwa klabu ya kwanza kunyakua kombe la urafiki baada ya kuibanjua AzamFC kwa Penati 3_1 baada ya kutoka 2_2 ktk muda wa kawaida. Shujaa wa Simba alikuwa nahodha Juma Kaseja baada kufuta penati 2 za Azam huku moja ikiota mbawa. Ni mwanzo mzuri kabla ya kombe ya Kagame kuanza kwani itakuwa imeongeza morali ya wachezaji 'imetia ndimu' kama watoto wa mjini wanavyosema. Viva Mnyama Viva Prof Milovan..

  Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
   
 2. Anselm

  Anselm JF-Expert Member

  #2
  Jul 13, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 1,705
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  1. Hapo kwenye red sentensi hiyo itakuwa na mantiki tu endapo ZFA watakuwa wana'run short of fund kila mwaka na kuendelea na technique hiyo ya kutafuta fedha kwa kuandaa Kombe mbuzi na kuzialika team kubwa ie Yanga,Simba na Azam ili wapige hela kama walivyopiga this time...lkn kama mipango ya Rais mpya wa ZFA itakuwa endelevu na kuifanya ZFA kuwa na uwezo wa kusimama vizuri utaweza kuiita Simba kama mabingwa wa kwanza na wa mwisho wa hilo kombe la urafiki sijui ujirani ksbb haitakuwepo tena,this I can assure U Mkuu.
  2. Kitu pekee ambacho mnaweza kuendeleza kuweka record ni kukusanya hayo makombe Mbuzi sijui Mapinduzi Cup,sijui Ujirani wa karibu,sijui Mo Cup,Kinesi Cup n.k huku mkijipa moyo kuwa eti ni mwanzo mzuri...kalaghabaho
  2.
   
 3. B

  Baba Kiki JF-Expert Member

  #3
  Jul 13, 2012
  Joined: May 31, 2012
  Messages: 1,366
  Likes Received: 488
  Trophy Points: 180

  Haijulikani unachokipinga ni nini. Lengo lako ni kukanusha alichoandika mwenzio au kubeza ushindi wa Simba?
   
 4. Gamaha

  Gamaha JF-Expert Member

  #4
  Jul 13, 2012
  Joined: Jul 17, 2008
  Messages: 2,695
  Likes Received: 753
  Trophy Points: 280
  mapovu yanawatoka sana watani
   
 5. Ufipa-Kinondoni

  Ufipa-Kinondoni JF-Expert Member

  #5
  Jul 13, 2012
  Joined: Jan 3, 2012
  Messages: 4,478
  Likes Received: 2,144
  Trophy Points: 280
  Mshindi amepewa zawadi gani mkuu au ni kikombe tu
   
 6. yahoo

  yahoo JF-Expert Member

  #6
  Jul 13, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 3,424
  Likes Received: 363
  Trophy Points: 180
  mlion 6 na laki3
   
 7. n

  ndomyana JF-Expert Member

  #7
  Jul 13, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 4,732
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  nusu ya mshara wa niyonzima
   
 8. n

  ndomyana JF-Expert Member

  #8
  Jul 13, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 4,732
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  kujiaibisha tu, kwa njaa waliokua nayo inawatosha sana
   
 9. adakiss23

  adakiss23 JF-Expert Member

  #9
  Jul 13, 2012
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 3,346
  Likes Received: 655
  Trophy Points: 280


  CECAFA na KAGAME CUP je? Kwanini isiende somalia au southern sudan?

  Kwa timu iliyoacha wachezaji 11 ni mashindano ambayo yangejenga timu 'mpya' ya kwenda Kagame. Sasa tuone nani atanufaika na nini? Hayo unayoyaita ya mbuzi au ile mechi ya kirafiki ya 'kutengeneza' KARIBUNI KAGAME 1\2 Final
   
 10. Anselm

  Anselm JF-Expert Member

  #10
  Jul 13, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 1,705
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Kutoana jasho hadi la m****ni kote kule zawadi ni 6.3M? they must be joking....kweli wajinga ndo waliwao...zidumu fikra za Viongozi wa team yangu kwa maamuzi yao ya busara ya kutopeleka chama kamili kwenye lile kombe la mbuzi lililokuwa la kuwanufaisha watu wachache
   
 11. Anselm

  Anselm JF-Expert Member

  #11
  Jul 13, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 1,705
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Kumrudisha Kocha mkuu haraka,kusafirisha team hadi Zanzibar kucheza mechi kadhaa kisha kuirudisha team Dar kwaajili ya fainali kwa ujumla kusimamisha kila kitu huku wachezaji wakipigana kiume uwanjani nusura ya kuvunjana miguu kwa mashindano yenye zawadi ya Mil 6 na laki 3 ni sign za kutotumia akili zao vizuri,lkn sina shaka watakuwa wamejifunza kutoka kwa Yanga nina uhakika next time katika mazingira kama haya wakialikwa tena kwenye kombe la mbuzi kama hili lazima watapeleka team B katika mikakati ya kuikomaza kama ilivyofanya Yanga
   
 12. R

  Rubuye123 JF-Expert Member

  #12
  Jul 13, 2012
  Joined: Dec 18, 2009
  Messages: 1,443
  Likes Received: 472
  Trophy Points: 180
  tu-goli twenyewe tutano tu,hadi leo tunakupa kiwewe!!..............hebu tulia bana,next time tutawafunga nne tu ili msipate sterss!
   
 13. M

  Masuke JF-Expert Member

  #13
  Jul 13, 2012
  Joined: Feb 28, 2008
  Messages: 4,606
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
  Zawadi ni milion kumi na mshindi wa pili milion tano, hiyo hela sio ndogo kama unavyofikiria, utaonaaje hiyo ndogo kwa mechi tano wakati Yanga mmecheza mechi 26 za ligi kuu mkaambulia milion 17 tu na kuweka dreva wenu rehani na mkashindwa kumkomboa na faini kibao walizopigwa wachezaji wenu hivyo mkilipa faini zote mnaweza kujikuta mnabakiwa hata na milioni nane tu ambayo ni ndogo ukilinganisha na tuliyopata sisi jana.
   
 14. M

  Masuke JF-Expert Member

  #14
  Jul 13, 2012
  Joined: Feb 28, 2008
  Messages: 4,606
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
  Mkuu mbona unaniangusha sasa na wewe, usiwe unaamini kila kitu japo chukua muda kupata habari toka vyanzo vingine, Zawadi ilikuwa ni milioni kumi na siyo 6.3M kama alivyoandika huyo jamaaa, fact inabakia kuwa fact na hakuna bias Azam wenyewe tuliowafunga wanajua Simba walichukua 10M sasa nyie ambao mlikuwa hata hamhusiki sijui hizo taarifa mmezipata wapi? kuendelea kuamini kwamba Simba walipata 6.3M ni kujilisha upepo.
   
 15. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #15
  Jul 13, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 739
  Trophy Points: 280
  Hiyo ilikuwa tunisha mfuko njomba.
   
 16. adakiss23

  adakiss23 JF-Expert Member

  #16
  Jul 13, 2012
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 3,346
  Likes Received: 655
  Trophy Points: 280
  Milioni 10 na kikombe


  Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
   
 17. a

  aduwilly JF-Expert Member

  #17
  Jul 13, 2012
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 1,182
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Huhitaji kuwa mtabiri kujua wewe ni shabiki wa Yanga a.k.a wazee wa TANO BILA.

  But usijali najua mmesajili wachezaji ambao ni wazuri magazetini but mkikutana na mnyama tu lazima mumfukuze mwenyekiti wenu mtae mchagua jumapili.

  Pole kaka maisha ndivyo yalivyo, sometime unajikuta uko sehemu ambayo haiko kivile (Team, Familia, Taifa, Kabila, Dini na n.k)
   
 18. Anselm

  Anselm JF-Expert Member

  #18
  Jul 13, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 1,705
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Si Yahoo alikuwa amenilisha "tango pori" mi niliamini alikuwa na taarifa from the reliable source vile mi sikuona haja ya kufuatilia details za mashindano yale ksbb to me mashindano yale yalikuwa sawa na ya Kinesi Cup,anyway hongereni Watani.
   
 19. M

  Masuke JF-Expert Member

  #19
  Jul 13, 2012
  Joined: Feb 28, 2008
  Messages: 4,606
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
  Sawa mkuu lakini siku nyingine kumbuka msemo kama huu, kitu kama huna uhakika nacho usikiseme, kama utalazimika kusema basi usiandike, kama utalazimika kuandika usisaini na ikitokea umesaini basi kiwe ni uhakika vinginevyo kitakuletea matatizo hasa kama kinadhalilisha watu wengine.
   
 20. Poriposha

  Poriposha JF-Expert Member

  #20
  Jul 13, 2012
  Joined: Oct 23, 2011
  Messages: 306
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Tatizo wapinzani hawakubali matokea wao wamekali kuponda tu mfano huyu Anselm kwa kuwa yeye ni Yanga basi kashajijenge itikadi ya kuto kuikubali Simba hata ikifanya mazuri ndio maana soka letu linakuwa limejaa mdomoni lakini uwanjani hakuna kitu...Aaaaghrrrrrr TUBADILIKE
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...