Simbanet internet gharama utata

Starlink kufika Tz 2030
 
Naona wamekuja kama wananchi group, wamesambaza nguzo mitaa ya mbezi beach karibia kila nyumba kwa sasa wanaweka waya na point
 
Ingekuwa MMU kwa mwandiko huu sijui ingekuaje..Tech huku kuna uungwana sana
 
Unamwita Mkwawa mshamba..

Aisee mkuu hujafanya poa kabisa.
 
Mkuu, hivi Redmi Note 11 ni Bei gani?
Kwa TZ last time nacheki ni 550,000 version ya 6GB ram na 128GB storage, Tigoshop.

Kenya zinaanzia 380,000 kwa 4GB ram na 64GB storage.

Ila kama una muda pitia Tigo kama wameleta 64GB storage itakua around laki 4.
 
Safi sana hii, hapo maeneo ya mjini mpaka mbezi beach njiani hizo waya pia zitakuwa zimepita, itakuwa si ngumu na wao kuwekewa.
Niliwasumbua hadi nikahamia connect 16, maana hawa walisema Zuku itakuwa tayari Mwezi wa 6

Kweli bana wametupendelea mno kila nyumba, connect atakosa wateja maana inakatika hovyo
 
Jamaa anatukana utadhani jf ndiyo inatoa bei elekezi.

Anaandika typos nyingi mtu anajitolea kumjibu bila kuhukumu yeye anaanza matusi
mshamba sio tusi ni mtu asiuejua kitu sema mmeshazoeshwa matusi io ataukiambiwa apo umekalia gogo utajua ushatukanwa
 
nipe mchongo baba io naipataje
 
Mkuu umekuja kuuliza, watu wanakujibu , unakuwa mkali na kutukana..

Jifunze kuwa mstaarabu, huyo unayemuita mshamba sisi wote humu tunamtengemea kwenye mambo ya tech na vifaa vya electronics.
mshamba sio tusi ni mtu asiuejua kitu fulan mbona pia nimemsifia jamaa kuna mambo anayajua huyo ila wakuu ilo hamkuona
 
mshamba sio tusi ni mtu asiuejua kitu fulan mbona pia nimemsifia jamaa kuna mambo anayajua huyo ila wakuu ilo hamkuona
Mleta mada una upungufu wa akili kwenye kichwa chako. Yani ww unaleta mada na unajifanya unajua kila kitu. Basi ungepiga kimya maana unajua kila kitu.
 
Mleta mada una upungufu wa akili kwenye kichwa chako. Yani ww unaleta mada na unajifanya unajua kila kitu. Basi ungepiga kimya maana unajua kila kitu.
ww ndio una upungufu wa akili we ebu fikiria kitu fulan unauliza afu unajibiwa unakubali tu eti kisa umejibiwa utauzwa mtu timamu lazima ahoji ili arekebishwe
 
ww ndio una upungufu wa akili we ebu fikiria kitu fulan unauliza afu unajibiwa unakubali tu eti kisa umejibiwa utauzwa mtu timamu lazima ahoji ili arekebishwe
Kwahiyo Hadi hivi sasa, umeona Nani ni mshamba Kati yako na uliemuita Mshamba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…