Haitumii line mkuu...Hivi chifu vida superkasi wanakufungia antena au ni line tu unapachika kwenye router
Hiyo kit inauzwa $500 bila shipping.Hizo gharama ni zaidi ya internet ya Elon Musk ( Starlink )
Hawa dawa Yao ni Starlink ikifika Tanzania ofisii zao watafugia kuku na BATA ...
Ingia humu uone kama tanzania huduma za Starlink zimeshafika.
Unachofanya unaagiza dish linakufukia hata kama unaishi Nanjilinji, Vifurushi unakuwa unalipia Kwa Kadi. Na Vifurushi vyao ni cheap kuliko hivi vya kinyonyaji + speed ya internet Yao ni ya kiwango cha juu kuliko hii ya Mitandao yetu ya kinyonyaji
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Ni kiasi gani kufungiwaHaitumii line mkuu...
mi wameshakuja kufanya survey na wameshanisainisha mkataba wao...nasubir wanipe invoice nilipe waje kufunga.
Kufungiwa bure..ila utalipa kifurushi cha miezi miwili, 20mbps ni 115k hivyo nitadeposit 230kNi kiasi gani kufungiwa
Hivi mnaposema Unlimited mnamaanisha hakuna mpango wa kukadiriwa kifurushi?yaani unatumia tu kwa kadiri uwezavyo?na je kuna limit ya matumizi kwa idadi ya vifaa?Kufungiwa bure..ila utalipa kifurushi cha miezi miwili, 20mbps ni 115k hivyo nitadeposit 230k
Hapo nimekuelewa mkuu sio mbaya saf kabsa ntafanya mchakatoKufungiwa bure..ila utalipa kifurushi cha miezi miwili, 20mbps ni 115k hivyo nitadeposit 230k
Wanatumia Tech gani kuleta internet?Haitumii line mkuu...
mi wameshakuja kufanya survey na wameshanisainisha mkataba wao...nasubir wanipe invoice nilipe waje kufunga.
Mkuu hakuna limit kuna watu wanashusha mpka 1TB kwa mwezi..Hivi mnaposema Unlimited mnamaanisha hakuna mpango wa kukadiriwa kifurushi?yaani unatumia tu kwa kadiri uwezavyo?na je kuna limit ya matumizi kwa idadi ya vifaa?
Wana kifaa kama hiki ndo wanafunga..ila nadhan lazima uwe karibu na minara yao ili internet iwe stable.Wanatumia Tech gani kuleta internet?
Satelite internet haiwezi ku compete na Fiber ama hata 4G. Hii ni internet ya watu ambao wapo remote.Hizo gharama ni zaidi ya internet ya Elon Musk ( Starlink )
Hawa dawa Yao ni Starlink ikifika Tanzania ofisii zao watafugia kuku na BATA ...
Ingia humu uone kama tanzania huduma za Starlink zimeshafika.
Unachofanya unaagiza dish linakufukia hata kama unaishi Nanjilinji, Vifurushi unakuwa unalipia Kwa Kadi. Na Vifurushi vyao ni cheap kuliko hivi vya kinyonyaji + speed ya internet Yao ni ya kiwango cha juu kuliko hii ya Mitandao yetu ya kinyonyaji
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Ni 5G au?Wana kifaa kama hiki ndo wanafunga..ila nadhan lazima uwe karibu na minara yao ili internet iwe stable.View attachment 2219323
So itakuwa ni 4G sio? Ukipata mkuu usisahau kuleta Feedback ya download, upload speed na pingWana kifaa kama hiki ndo wanafunga..ila nadhan lazima uwe karibu na minara yao ili internet iwe stable.View attachment 2219323
Sawa mkuu nitafanya hivyoSo itakuwa ni 4G sio? Ukipata mkuu usisahau kuleta Feedback ya download, upload speed na ping
Ahsante mkuu..Mkuu hakuna limit kuna watu wanashusha mpka 1TB kwa mwezi..
hyo ya voda ni unlimited???Zuku hawajafika nje ya katikati ya jiji. Mwisho kkoo, upanga mpaka Kinondoni ya Morocco.
Sema hio voda Superkasi 20mbps kwa 115,000 si mbaya. Sababu Zuku 10mbps ni 70,000. Munaweza kuchanga Familia 2 mkagawana 10mbps kwa hio 67500. Ama kujibana Hata familia 3 ama 4 mnatumia, uwe tu na Router nzuri ili msije Dhulumiana speed.
Nimekuta mada ya mtu ambaye yuko kwenye ignore list yangu ikabidi nisome michango ya wadau. Ila kumbe sikukosea kumuweka ignore list, wala sijui nilimuwekaj lini na alifanya niniJamaa anatukana utadhani jf ndiyo inatoa bei elekezi.
Anaandika typos nyingi mtu anajitolea kumjibu bila kuhukumu yeye anaanza matusi
Ni unlimitedhyo ya voda ni unlimited???
ndio mkuu, feedback ya humu ni unlimitedhyo ya voda ni unlimited???
Alaf mkuu niliwaulizaga wakasema ni 10mbps kwa 115,000 ata kwa website yao wameandika ivondio mkuu, feedback ya humu ni unlimited